Ahmed _ba'juun
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 251
- 200
Umechapia mjeledi au ukuni
Ukuni wa mti wa mninga ni imara sanaUmechapia mjeledi au ukuni
Sana sana ukichongea kitanda kitadumu muda mrefuUkuni wa mti wa mninga ni imara sana
Mrefu hana shida ya ngaziSana sana ukichongea kitanda kitadumu muda mrefu
Ngazi ya nini wakati urefu wake unamtosha? Na wafupi nao hawana shida na ngaziMrefu hana shida ya ngazi
Ngazi ya la saba A nayo si haba, bora upate elimu ya kuvukia barabaraMrefu hana shida ya ngazi
Bara na visiwani pote ni tanzaniaNgazi ya la saba A nayo si haba, bora upate elimu ya kuvukia barabara
Tanzania ni jina lililotokana na muunganiko wa Tanganyika na ZanzibarBara na visiwani pote ni tanzania
Zanzibar ndo tanzania visiwaniTanzania ni jina lililotokana na muunganiko wa Tanganyika na Zanzibar
Tanzania tunashidwa kutofautisha kati ya BARABARA na BARABara na visiwani pote ni tanzania
Visiwani ni sehemu za nchi kavu zilizopo BahariniZanzibar ndo tanzania visiwani
Bahari gani ni kubwa?Visiwani ni sehemu za nchi kavu zilizopo Baharini
Yangu macho nakuona unavyojichanganyaKubwa mb** yangu
Humu watu wanasuasua sanaNini kimekuleta humu