ledada
JF-Expert Member
- Oct 4, 2015
- 17,460
- 67,429
Sana yani adi panaboaHumu watu wanasuasua sana
Sana yani adi panaboaHumu watu wanasuasua sana
Panaboa endapo mtu akikuudhiSana yani adi panaboa
Furani ni miongoni kwa watu wasiojulikanaAysee naona umeanza kuchomeka maneno kama bwana fulani
Akikuudhi mwambiePanaboa endapo mtu akikuudhi
Mwambieni Mwifwa akalale, ledada anamsubiriaAkikuudhi mwambie
Anamsubiria wapi mbona simuuoni?Mwambieni Mwifwa akalale, ledada anamsubiria
Simuoni dr shika yuko wapi siku hiziAnamsubiria wapi mbona simuuoni?
Hizi ni fix tu, nimeambiwa uko kwa Mwifwa muda huuSimuoni dr shika yuko wapi siku hizi
Huu ni muda mzuri sana wa kupumzkaHizi ni fix tu, nimeambiwa uko kwa Mwifwa muda huu
Kumpumzika watoto wakubwa tunaendeleaHuu ni muda mzuri sana wa kupumzka
Tunaendelea kupashana habariKumpumzika watoto wakubwa tunaendelea
habari za asubuhi humu ndani?Tunaendelea kupashana habari
Ndani humu nahisi wote hatujambo kabisahabari za asubuhi humu ndani?
Kabisa hatujambo ila hatujalaNdani humu nahisi wote hatujambo kabisa
Hatujala kwa sababu ledada amekataa kutupikiaKabisa hatujambo ila hatujala
Nimepika hamjakuja mekula choteHatujala kwa sababu ledada amekataa kutupikia
Chochote ulichonacho naomba unigawieNimepika hamjakuja mekula chote
Nikugawie usingiziChochote ulichonacho naomba unigawie
Upitapo hapa usiache kutusalimiaUsingizi upi