Tuliooa ni wachacheKolomije kijiji kilichojipatia umaarufu kimchezo mchezo tu
Wachache hawafai hapa wanafaa wengiTuliooa ni wachache
Mie ndo Rais mtarajiwa 2020Tumalizeni mchezo basi nishinde mie
2020 inaandikwaje kwa kirumi?Mie ndo Rais mtarajiwa 2020
2020 hakutakuwa na uchaguzi wa rais, kutakuwa na uchaguzi wa wabungeMie ndo Rais mtarajiwa 2020
Kirumi inaandikwa hivi (xxxx)2020 inaandikwaje kwa kirumi?
Wabunge wa Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki?2020 hakutakuwa na uchaguzi wa rais, kutakuwa na uchaguzi wa wabunge
Mashariki ya mbaliWabunge wa Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki?
mbali na hapo mwezi unaelekea mwishoMashariki ya mbali
Mwishowe nitakuwa sugu kwenye huu mchezo kama Wengermbali na hapo mwezi unaelekea mwisho
Wenger anataka kufia kwenye cheo chakeMwishowe nitakuwa sugu kwenye huu mchezo kama Wenger
Wenger kama TrumpMwishowe nitakuwa sugu kwenye huu mchezo kama Wenger
Trump ni Mfanyabiashara aliyejiingiza kwenye siasa na kuunyakua UraisWenger kama Trump
Urais haufundishwi darasaniTrump ni Mfanyabiashara aliyejiingiza kwenye siasa na kuunyakua Urais
Darasani kwetu montress anaitwa ledadaUrais haufundishwi darasani
Ledada ni montress anayeendana na kasi ya la saba BDarasani kwetu montress anaitwa ledada
Baada ya kutoka kwenye mihangaiko ya kutwa nzima sasa napumzikaLedada ni montress anayeendana na kasi ya la saba B
BBC ndo chombo alichotumia lissu kuichafua tz kwa mujib wa musibaLedada ni montress anayeendana na kasi ya la saba B
Musiba ndio nani?BBC ndo chombo alichotumia lissu kuichafua tz kwa mujib wa musiba