Emma Mnyama
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 201
- 183
Hupiki chakula kitamu wanajf tuje kulaKula?? Kwani kwako hupiki?
Hupiki chakula kitamu wanajf tuje kulaKula?? Kwani kwako hupiki?
Hupiki kwa sababu ni mchoyoKula?? Kwani kwako hupiki?
Leo napika vibamiaHupiki bamia leo?
Vibamia vimeuzika sana hii weekendLeo napika vibamia
Mchoyo ndo mzuri nabana matumiziHupiki kwa sababu ni mchoyo
Kula kwako hapa stori tuHupiki chakula kitamu wanajf tuje kula
Weekend ndo inaisha jamanVibamia vimeuzika sana hii weekend
Matumizi yangu hata hamnipiMchoyo ndo mzuri nabana matumizi
Hamnipi likes mbonaMatumizi yangu hata hamnipi
Mbona mimi nagawa kama chungu, kwani hampati notifications?Hamnipi likes mbona
Notifications nimeziban mkuuMbona mimi nagawa kama chungu, kwani hampati notifications?
Mkuu sijawahi kukutana na wewe tangu nijiunge JFNotifications nimeziban mkuu
JF ni mtandao pendwaMkuu sijawahi kukutana na wewe tangu nijiunge JF
Notifications mimi napataMbona mimi nagawa kama chungu, kwani hampati notifications?
Pendwa na mpenzi wako kwa dhati utajihisi Dunia ipo kiganjani mwakoJF ni mtandao pendwa
Mwako sio kiswahili fasahaPendwa na mpenzi wako kwa dhati utajihisi Dunia ipo kiganjani mwako
Fasaha ni kitenzi, kivumishi au kielezi?Mwako sio kiswahili fasaha
Fasaha ni kivumishiFasaha ni kitenzi, kivumishi au kielezi?
Kivumishi!!! Hapa umevuruga taratibu za mchezoFasaha ni kivumishi
Napatana sana na wewe toka juziNotifications mimi napata