kazaula0808
Member
- Aug 2, 2014
- 63
- 28
ukwel umuweka mtu huruMganga hajigangi huo ndio ukweli.
ukwel umuweka mtu huruMganga hajigangi huo ndio ukweli.
humu kuna masharti magumuUkweli ni kwamba nlimiss kuingia humu...
Emmy habari yako mpendwa?
Masharti magumu?!? Walaa hata hamna masharti magumu humu ndani yote ni mepesi tuuhumu kuna masharti magumu
Ujue waliufuta sababu mwisho mwisho kuna watu waliuvuruga. thatsit yupo ila kaamua kujipumzisha kidogo kuingia humu na jana nimechat nae sehemu yuko poa kabisa.Nyingine muwekee thatist hivi yupo?
Nipoo dear Naona walifunga uzi wa mchebe siuoni ujue....
Jumamosi ni siku ya ibada kwa wasabato !!Ujue waliufuta sababu mwisho mwisho kuna watu waliuvuruga. thatsit yupo ila kaamua kujipumzisha kidogo kuingia humu na jana nimechat nae sehemu yuko poa kabisa.
Mumy za jumamosi?
Wasabato hata humu wapo ujue.Jumamosi ni siku ya ibada kwa wasabato !!
Ujue kuwa Muumba wa ardhi na mbingu ndiyo huyu huyu alotuumba sote na haki ya kuabudiwa..!!Wasabato hata humu wapo ujue.
Kuabudiwa kwa masanamu huwa kunanishangaza sana.Ujue kuwa Muumba wa ardhi na mbingu ndiyo huyu huyu alotuumba sote na haki ya kuabudiwa..!!
Sana sana utastaajabu ila utazoea....Kuabudiwa kwa masanamu huwa kunanishangaza sana.
Sana sana huwa nakupenda tu bila sababuKuabudiwa kwa masanamu huwa kunanishangaza sana.
Sababu haiwezi kukosekana.Sana sana huwa nakupenda tu bila sababu
Kukosekana! Labda kwa hekima zako ndizo zinipazo mvuto jamaniSababu haiwezi kukosekana.
thread ni lugha ya wazungu.Mengine yanaitumbulia macho hii thread
Wazungu walitawala Afrika kwa uadilifu....thread ni lugha ya wazungu.
Sijayaelewa maneno ya mzee yule ya kupaka grisHayo yote mliyoongea sijayaelewa
Gris ni Rushwa?Sijayaelewa maneno ya mzee yule ya kupaka gris