Foxhound
JF-Expert Member
- Dec 15, 2013
- 28,735
- 76,363
Nyumba ni mapambo tuKujenga nyumba
Nyumba ni mapambo tuKujenga nyumba
Mapambo tu hata kama ni nyumba ni sawa na mapambo mengineNyumba ni mapambo tu
Mengine yanaitumbulia macho hii threadMapambo tu hata kama ni nyumba ni sawa na mapambo mengine
Thread haiwezi kuisha hii,inazidi kukuaMengine yanaitumbulia macho hii thread
Kukua kwako na utundu wako unatanukaThread haiwezi kuisha hii,inazidi kukua

vipi Dokta Shika alitoroka urusiUnatanuka ki vipi?
Urusi waje tuu kumchukua mtu wao kwan nyumba zenyewe kashindwa kuzinunua.vipi Dokta Shika alitoroka urusi
Kuzinunua habari usizozipenda, zenye kukuudhi ni kugumu sanaUrusi waje tuu kumchukua mtu wao kwan nyumba zenyewe kashindwa kuzinunua.
Sana yaani, siku nyingi sijaja humu ndani!!! Wale wahenga wenzangu sijui bado wapoKuzinunua habari usizozipenda, zenye kukuudhi ni kugumu sana
Wapo, tupo tunajikokota taratiib!Sana yaani, siku nyingi sijaja humu ndani!!! Wale wahenga wenzangu sijui bado wapo
Taratiib ndo mwendo bbc, hujambo wewe lakiniWapo, tupo tunajikokota taratiib!
Lakini nimekukosea tenaTaratiib ndo mwendo bbc, hujambo wewe lakini
Tena najua ni makusudiLakini nimekukosea tena
Makusudi yangu nikupigie lakini ninapitiwaTena najua ni makusudi
Ninapitiwa sanaMakusudi yangu nikupigie lakini ninapitiwa
Sana sio kupitiwa ni dharau tuuNinapitiwa sana
Ninapitiwa eeh, vizuri mwaya. Ukiacha kupitiwa najua utanitafutaMakusudi yangu nikupigie lakini ninapitiwa
Utanitafuta!Ninapitiwa eeh, vizuri mwaya. Ukiacha kupitiwa najua utanitafuta
Kesho yako haijawahi fika, si unakumbuka lakiniUtanitafuta!
Mimi nitaanza kukutafuta kesho