Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 51,117
- 122,526
Namna gani nimemiss kuingia humu kwenye huu uzi penda. Wazima wote?Zimbobo usiende..twenzetu libya...kuna ushenzi wa kila namna.
Namna gani nimemiss kuingia humu kwenye huu uzi penda. Wazima wote?Zimbobo usiende..twenzetu libya...kuna ushenzi wa kila namna.
Wote wazima hofu kwako dada yanguNamna gani nimemiss kuingia humu kwenye huu uzi penda. Wazima wote?
Yangu hali iko vizuri kabisa.Wote wazima hofu kwako dada yangu
Kabisa ni jambo la kumshukuru MuumbaYangu hali iko vizuri kabisa.
kabisa kabisa hata mm nakuona dada emmytaYangu hali iko vizuri kabisa.
Emmyta hajambo kabisa ni mzima wa afya.kabisa kabisa hata mm nakuona dada emmyta
emmyta kasema yuko salama salimini, hofu bado kwako maana hujatuambia hali yakokabisa kabisa hata mm nakuona dada emmyta
yako mengi ya kueleza ila kwa ufupi tu mm pia niko salama kabisa chief...na wewe jeemmyta kasema yuko salama salimini, hofu bado kwako maana hujatuambia hali yako
Jema atatulipa muumba wetu tukifanya memayako mengi ya kueleza ila kwa ufupi tu mm pia niko salama kabisa chief...na wewe je
afya ni uhai, nafurahi kujua hivyoEmmyta hajambo kabisa ni mzima wa afya.

mema ya siku hizi hayaeleweki kabisa sijui tumekuwaje wanadamuJema atatulipa muumba wetu tukifanya mema
Wanadamu tumetekwa na utandawazi na kusahau mambo mazuri yenye tijamema ya siku hizi hayaeleweki kabisa sijui tumekuwaje wanadamu
tija ni msamiati mgumu kidogo kwangu chief naomba kuelewaWanadamu tumetekwa na utandawazi na kusahau mambo mazuri yenye tija


tija ni msamiati mgumu kidogo kwangu chief naomba kuelewa![]()
labda atatusaidia dada emmyta tumsubiri ajeAje huku! Siku hizi kasusa naona kabanwa![]()
labda atatusaidia dada emmyta tumsubiri aje
Kabanwa labda hana Expansion jointsAje huku! Siku hizi kasusa naona kabanwa
Joints za kuta afadhali, za mifupa ndo hatari.Kabanwa labda hana Expansion joints
Hatari sana ukikosea masharti ya mgangaJoints za kuta afadhali, za mifupa ndo hatari.
Mganga hajigangi huo ndio ukweli.Hatari sana ukikosea masharti ya mganga
Ukweli ni kwamba nlimiss kuingia humu...Mganga hajigangi huo ndio ukweli.