Jogoo wa Shamba II
JF-Expert Member
- Jan 14, 2013
- 3,393
- 6,562
Mzima dada emmyta hakika nimekumissKheri na baraka tele. Nakusalimia bbc mzima?
Mzima dada emmyta hakika nimekumissKheri na baraka tele. Nakusalimia bbc mzima?
Mzima buheri wa afya, kwenye Wa mwisho ndo mshindi haupo, hata nyumbani pia.Kheri na fanaka tele. Nakusalimia bbc mzima?
Kulikoni watu kususia uzi huu.Pia hata salamu hutoi kulikoni?
uzi huu haujawahi kususiwa wewe subiri utauona moto wakeKulikoni watu kususia uzi huu.
Wake kwa waume woote waje.uzi huu haujawahi kususiwa wewe subiri utauona moto wake
waje kwa umoja wao bila kujali itikadiWake kwa waume woote waje.
waje tu maana humu tangu tumeanza tunaendelea tu hakuna kumalizaWake kwa waume woote waje.
Kumaliza ni mpaka watu watakapochokawaje tu maana humu tangu tumeanza tunaendelea tu hakuna kumaliza
watakapochoka na nn sasa?Kumaliza ni mpaka watu watakapochoka
Sasa mchezo huu umeenda mbali, watakapochoka kuuchezawatakapochoka na nn sasa?
Sasa nimekuja kaaeni mkao wa kulawatakapochoka na nn sasa?
Kula kwelikweli Mwifwa kaja!Sasa nimekuja kaaeni mkao wa kula
Kaja humu JF.Kula kwelikweli Mwifwa kaja!
JF where we dare to talk openlyKaja humu JF.
Openly brings true freedom.JF where we dare to talk openly
Freedom of speech and expressionOpenly brings true freedom.
Openly like in the bush!JF where we dare to talk openly