Arien
JF-Expert Member
- Aug 29, 2017
- 11,245
- 11,777
mwingine yupi ndo huyu huyu unayemjuaAliyesukumiziwa ndio huyu ninayemjua au kuna mwingine.
mwingine yupi ndo huyu huyu unayemjuaAliyesukumiziwa ndio huyu ninayemjua au kuna mwingine.
Unayemjua kwa sura.mwingine yupi ndo huyu huyu unayemjua
Unayemjua wewe ndio ninayemjua mimimwingine yupi ndo huyu huyu unayemjua
CHAPUTA ni chama langu na wadau wamenipa nafasi ya katibu mwenezi wa chamaMimi ni Mwenyekiti wa CHAPUTA
Chama lenye wadau wengi Duniani kote wakubwa na vijana, wamama na wadadaCHAPUTA ni chama langu na wadau wamenipa nafasi ya katibu mwenezi wa chama
Wadada pia?Chama lenye wadau wengi Duniani kote wakubwa na vijana, wamama na wadada
Zao la katani lilikuwa maarufu sana wakati wa MwalimuPia, tena cku hz wanaongoza na Dildo zao
Mwalim wangu wa Hisabati nimemsahau jinaZao la katani lilikuwa maarufu sana wakati wa Mwalimu
Jina langu ni mwajuma ndala ndefuMwalim wangu wa Hisabati nimemsahau jina
Ndefu wanashindwaga kuzikatia maunoJina langu ni mwajuma ndala ndefu
Ndefu sana, pia fupi nayo ipoJina langu ni mwajuma ndala ndefu
Jina zuri liendane na tabia nzuri.Mwalim wangu wa Hisabati nimemsahau jina
Nzuri sura hata mbuzi anayoJina zuri liendane na tabia nzuri.
Anayo kweli na wala sio uongoNzuri sura hata mbuzi anayo
Anayo ile gari yakoNzuri sura hata mbuzi anayo
Yako niliiona umeipaki kama Pangaboi ya mkuluAnayo ile gari yako
Yako tabia ni mbaya ujue. Mana uliadimika wee na siku moja nimekuona sehemu nikakusalimia hata kuniitikia. Vibaya hivyo.Anayo ile gari yako
Mkulu anasema hapa kazi tu.Yako niliiona umeipaki kama Pangaboi ya mkulu