daneyodry
JF-Expert Member
- Aug 1, 2017
- 350
- 227
Kauli au maneno ya Marijan Rajab "kumekucha jama kumekucha, majogoo vijijini yanawika, wazalendo amkeni tufanye kazi sasa ..." WanaJF kumekucha.
Kumekucha na makucha yakeKauli au maneno ya Marijan Rajab "kumekucha jama kumekucha, majogoo vijijini yanawika, wazalendo amkeni tufanye kazi sasa ..." WanaJF kumekucha.
Makucha yake alianza kuyaonyesha pale walipompa madaraka ya juuKumekucha na makucha yake
Madaraka ya juu ni yapi hayoMakucha yake alianza kuyaonyesha pale walipompa madaraka ya juu
Wewe gbefa vibaya hivyo ndio ukajichimbia kwenye uzi wa likes hata hubanduki kule
Kule nilipokuona jana ndio wapiWewe gbefa vibaya hivyo ndio ukajichimbia kwenye uzi wa likes hata hubanduki kule
Wapi uliniona kaka? Hata kunishtua dada yako..Kule nilipokuona jana ndio wapi
Jamii Forums mobile app
kule nimewakimbia mbona siku nyingi tu ila majukumu mengi dada yangu.. humu ndio nyumbani milele....Wewe gbefa vibaya hivyo ndio ukajichimbia kwenye uzi wa likes hata hubanduki kule
"Milele amina" walisikika waumini wakishukuru wote kwa pamojakule nimewakimbia mbona siku nyingi tu ila majukumu mengi dada yangu.. humu ndio nyumbani milele....
Sent using Jamii Forums mobile app
pamoja sana wangu"Milele amina" walisikika waumini wakishukuru wote kwa pamoja
Wangu umeadimika siku hizi
siku hizi mambo magumu haswa kitabu kinanibana naogopa supplementary mkuuWangu umeadimika siku hizi
Jamii Forums mobile app
Mkuu wa huu uzi ni wambuzisiku hizi mambo magumu haswa kitabu kinanibana naogopa supplementary mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Aiseee jf ni balaa mana kuna ambao hawalali usiku kucha wanachati tu
Tu wengi tunaotumia jf.Aiseee jf ni balaa mana kuna ambao hawalali usiku kucha wanachati tu
Jf haibagui kila rika wanaruhusiwa kujiunga