Akhy D
JF-Expert Member
- Jun 10, 2013
- 361
- 420
Mtu yeyote atakaesikia aniambie na mimiVichakani ungekaa bbc niambie tu mimi peke yangu sitamwambia mtu
Mtu yeyote atakaesikia aniambie na mimiVichakani ungekaa bbc niambie tu mimi peke yangu sitamwambia mtu
Mimi nipo kwa ajili ya kusikiliza hivyo usijaliMtu yeyote atakaesikia aniambie na mimi
Usijali emmy ningekaa tu, huwezijua labda hata sasa nakaa!Mimi nipo kwa ajili ya kusikiliza hivyo usijali
Sasa nakaa nikusubiri unipeleke huko vichakani unakokaa nikakuoneUsijali emmy ningekaa tu, huwezijua labda hata sasa nakaa!
Nikakuone uliko wewe niliko hukuwezi!Sasa nakaa nikusubiri unipeleke huko vichakani unakokaa nikakuone
Niliko hukuwezi mana ni madongo kuinamaNikakuone uliko wewe niliko hukuwezi!
Kuinama usijali emmy wakati mwingine kukiwa na mwinamo ndiyo kuzuri.Niliko hukuwezi mana ni madongo kuinama
Kuzuri tena basi karibu madongo kuinamaKuinama usijali emmy wakati mwingine kukiwa na mwinamo ndiyo kuzuri.
Kuinama ni kupindisha mgongo kwenda chini, hapana neno nakuja madongo kuinamaKuzuri tena basi karibu madongo kuinama
Kuinama kwa watu fulani pindi mnachuma mboga sio sahihi mnatutega..Kuinama ni kupindisha mgongo kwenda chini, hapana neno nakuja madongo kuinama
Mnatutega? Hata sijaelewaKuinama kwa watu fulani pindi mnachuma mboga sio sahihi mnatutega..
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijaelewa alichomaanisha ila nimelisikia hilo mara nyingiMnatutega? Hata sijaelewa
Mara nyingi huwa linatumika kwa siri sasa yeye kalileta hadharaniSijaelewa alichomaanisha ila nimelisikia hilo mara nyingi
Hadharani kivipi, anyway bado hujalala?Mara nyingi huwa linatumika kwa siri sasa yeye kalileta hadharani
Hujalala hadi saa hizi, au usingizi umekataHadharani kivipi, anyway bado hujalala?
Umekata chuma kwa kisu, you cant be seriousHujalala hadi saa hizi, au usingizi umekata
Serious pasipotakiwa kuwa serious huwezi kuwa seriousUmekata chuma kwa kisu, you cant be serious
Jamii Forums mobile app
niache kidogo kaka maana hata sikuelewi umebadilika aiseeSerious natafuta dem wa kuniliwaza, maana moshi ssasa nataka niache
Jamii Forums mobile app