Daby
JF-Expert Member
- Oct 26, 2014
- 34,961
- 80,194
Hupumui wewe.... ntakuja kukachukuwa ila mm huwa nachapa![]()

haufai wewe bora akachukue emmyta yaani ukachape katoto kangu kadogo?Hupumui wewe.... ntakuja kukachukuwa ila mm huwa nachapa![]()

haufai wewe bora akachukue emmyta yaani ukachape katoto kangu kadogo?kadogo sikachapi banahaufai wewe bora akachukue emmyta yaani ukachape katoto kangu kadogo?
Humu jamii forum,jukwaa gani? HasaVitoto vimejaa humu
Hasa kule chit chat.. Habari ya Usiku mkuuHumu jamii forum,jukwaa gani? Hasa
Mkuu salama kabisa, uhali gani miss sakayoHasa kule chit chat.. Habari ya Usiku mkuu
Sakayo ni wa afya kabisaa hofu kwako Mr dingimtotoMkuu salama kabisa, uhali gani miss sakayo
Dingimtoto bukheri wa afya kabisaa, sijui shem wangu ajambo?Sakayo ni wa afya kabisaa hofu kwako Mr dingimtoto
Ajambo kabisaa mwaya!!! Vipi wifi ake mie mzima??Dingimtoto bukheri wa afya kabisaa, sijui shem wangu ajambo?
Mie mzima kabisa hofu i kwenu tu waungwana wangu. Nawaona wenye mashemeji na mawifi zenu, mnatereza tu wenyewe....Ajambo kabisaa mwaya!!! Vipi wifi ake mie mzima??
wenyewe mnajiachia aiseee.... anhaaa kumbe weekend hiiMie mzima kabisa hofu i kwenu tu waungwana wangu. Nawaona wenye mashemeji na mawifi zenu, mnatereza tu wenyewe....
Hii hali kwa kweli sio nzuri hata kidogo. Yaani mtu unakaa siku tatu hata jero haingiii
Haiingii kabisa yaani maisha ni magumuHii hali kwa kweli sio nzuri hata kidogo. Yaani mtu unakaa siku tatu hata jero haingiii
Magumu kuliko maelezoHaiingii kabisa yaani maisha ni magumu
Maelezo yako yanatosha kuhusu kile kinywajiMagumu kuliko maelezo
Kinywaji gani hicho?Maelezo yako yanatosha kuhusu kile kinywaji
Hichoo ndo kilichoniudhiKinywaji gani hicho?
Kilichokuudhi ni nini?Hichoo ndo kilichoniudhi