King_jcb classic
Member
- Apr 12, 2017
- 16
- 6
Kabisa yaani ukinifuata mm usipokufa utakua unajeuriKujulikana sio ishu kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Kabisa yaani ukinifuata mm usipokufa utakua unajeuriKujulikana sio ishu kabisa
mshindi sio lazima apatikane kwa karatasi kusainiwaVinginevyo hakuna mshindi
Kusainiwa kwa mkataba wa Jumuia ya Afrika Mashariki kutafanya wstu wa Jumuia hiyo kutembeleana kiurahisi.
Kiurqhisi rahisi tuu unataka kuwa mshindi?!.... Mmeshindaje wapendwa?Kusainiwa kwa mkataba wa Jumuia ya Afrika Mashariki kutafanya wstu wa Jumuia hiyo kutembeleana kiurahisi.
kiurahisi naweza kukujulisha kwamba sasa hivi sio zama za mikataba bali ni zama za tz viwandaKusainiwa kwa mkataba wa Jumuia ya Afrika Mashariki kutafanya wstu wa Jumuia hiyo kutembeleana kiurahisi.
wapendwa wooote wameshinda mshindo wa kuendeleza hii threadKiurqhisi rahisi tuu unataka kuwa mshindi?!.... Mmeshindaje wapendwa?
kazi zenyewe ngumu na nzito ila mishahara finyu kama furuwapendwa jr kunanoga sana, unaweza sahahu kazi
furu anamiba, ukimula lazima akuchome na miba yake tu
tu utakwazwa kwenye ishu ya mishahara mtindo mmojafuru anamiba, ukimula lazima akuchome na miba yake tu
Mmoja anatosha
Nini kingine zaidi ya kwasabahi member wenzangu wa huu uzi.
Huu uzi naupenda kila siku nachungulia humuNini kingine zaidi ya kwasabahi member wenzangu wa huu uzi.
Humu nikikaona hako katoto kako nakatamani saana. Napenda watoto halafu awe msumbufuu msumbufuu na mjanjaHuu uzi naupenda kila siku nachungulia humu
Mjanja mjanja kama hicho hapo, itabidi nikupatie hako katoto.Humu nikikaona hako katoto kako nakatamani saana. Napenda watoto halafu awe msumbufuu msumbufuu na mjanja
Katoto kenyewe sio kako umekaiba kwa Jirani.Mjanja mjanja kama hicho hapo, itabidi nikupatie hako katoto.
Jirani yangu ana roho nzuri sana ananipatiaga nadhinda nachoKatoto kenyewe sio kako umekaiba kwa Jirani.
Nacho-waza kumbe hauna katoto wewe. Uje ukachukue na kangu basi ila kasumbufu ukiwa nako hupumuiJirani yangu ana roho nzuri sana ananipatiaga nadhinda nacho
Hupumui wewe.... ntakuja kukachukuwa ila mm huwa nachapaNacho-waza kumbe hauna katoto wewe. Uje ukachukue na kangu basi ila kasumbufu ukiwa nako hupumui




