Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 51,107
- 122,494
Mchokozi ila sio sana bana. Karibu tena basiUmesharudi emmyta, wewe ni mchokozi!
Mchokozi ila sio sana bana. Karibu tena basiUmesharudi emmyta, wewe ni mchokozi!
Akamatwe ndio. Daah. Jamani mzado vibaya hivyo sio kwa kuadimika huko. Kwema?
Kwema kwakweli, nime wa miss wote emmytaAkamatwe ndio. Daah. Jamani mzado vibaya hivyo sio kwa kuadimika huko. Kwema?
Emmyta anafurahi kukuona tena. Karibu sana.
Sana nimekuja kuchukua ushindi sasaEmmyta anafurahi kukuona tena. Karibu sana.
Sasa kwa kuwa umerudi tena nina imani utakuwa wako...
Wako utiifu ktk mafanikio hayaSasa kwa kuwa umerudi tena nina imani utakuwa wako...
Haya maneno alisikika akisema kazoa kwa sauti ya juu sana
Sana kiasikwamba hakusikikaHaya maneno alisikika akisema kazoa kwa sauti ya juu sana
Sana nimefurahi nawe my umekuja, vp ulikuwa kazini au ulilala...Haya maneno alisikika akisema kazoa kwa sauti ya juu sana
Ulilala sana mchana wa leo, ulichoka sana na pilikapilika za wikiend!Sana nimefurahi nawe my umekuja, vp ulikuwa kazini au ulilala...
Wikiend ndio inaisha hvi, mwifwa[Ulilala sana mchana wa leo, ulichoka sana na pilikapilika za wikiend!
Mwifwa mambo vipi? Emmyta dear nlikuwa kazini ndo natoka sahv
Sahv ndio nimefungua data, mi sijambo jakitoo hofu kwakoMwifwa mambo vipi? Emmyta dear nlikuwa kazini ndo natoka sahv
Kwako kama kwangu salama salimini. Pole jakitoo kwa mihangaiko.Sahv ndio nimefungua data, mi sijambo jakitoo hofu kwako
Mihangaiko gani Jumamosi hiiKwako kama kwangu salama salimini. Pole jakitoo kwa mihangaiko.
Hii siku ya jumamosi kuna wengine wanaenda kibaruaniMihangaiko gani Jumamosi hii
Kibaruani! Kulima au kufanya niniHii siku ya jumamosi kuna wengine wanaenda kibaruani
Nini kinaendelea humu ndani?Kibaruani! Kulima au kufanya nini
You get what you work for not What you wish for 
Ndani ya nchi yetuNini kinaendelea humu ndani?
You get what you work for not What you wish for
![]()