Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 51,106
- 122,492
Peke yangu nakushangaa kwa yaliyokukuta kulikoni tena?..
Peke yangu nakushangaa kwa yaliyokukuta kulikoni tena?..
Tena nikupe?Peke yangu nakushangaa kwa yaliyokukuta kulikoni tena?..
Nikupe nini uridhike ewe kipenzi Rafiki.
Rafiki zangu mnaonekana kwa mikatiko.Nikupe nini uridhike ewe kipenzi Rafiki.
Mikatiko hutukumba pale majukumu yanapokuwa mengi...ni changamoto za maisha.Rafiki zangu mnaonekana kwa mikatiko.
Gari ilipata ajali hiyo kutokana na ubovu wa miundombinu.Salama salimini tulitoka katika ajari ile mbaya ya gari.
Gari gani mlipata nayo ajari mkuu?Salama salimini tulitoka katika ajari ile mbaya ya gari.
Miundo mbinu ya huku kwetu ni mibovu sana. Nimekuelewa ndugu yangu pole sana.Gari ilipata ajali hiyo kutokana na ubovu wa miundombinu.
Sana nimeona wepesi wako. Nashukuru sana daderi, tumerudi kuendelea kusukuma gurudumu la udanganyika.Miundo mbinu ya huku kwetu ni mibovu sana. Nimekuelewa ndugu yangu pole sana.
Udanganyika kweli kweli tena wala sio kidogoSana nimeona wepesi wako. Nashukuru sana daderi, tumerudi kuendelea kusukuma gurudumu la udanganyika.
Kidogo-kidogo tutafanikiwa kulijenga Taifa letu lililokuwa limetafunwa sana nakubaki mifupa.Udanganyika kweli kweli tena wala sio kidogo
Mifupa inapendeza kwa supu...Kidogo-kidogo tutafanikiwa kulijenga Taifa letu lililokuwa limetafunwa sana nakubaki mifupa.
Supu gani kwako unaipenda..?Mifupa inapendeza kwa supu...
Pweza sijawahi kula na hata sijui ladha yake. Naipenda supu ya kuku wa kienyeji.Supu gani kwako unaipenda..?
Vipi kuhusu supu ya pweza.
Kienyeji supu ya kuku ni nzuri sana.. pia mbuzi yupo vyema kwa supu.Pweza sijawahi kula na hata sijui ladha yake. Naipenda supu ya kuku wa kienyeji.
Supu ya mbuzi huwa inanishinda harufu tuKienyeji supu ya kuku ni nzuri sana.. pia mbuzi yupo vyema kwa supu.
Tu usijalii ntakuletea supu ya samaki kutoka mara emmytaSupu ya mbuzi huwa inanishinda harufu tu
Tu-tafika popote pale kimaisha endapo tutaweka nia na kuchapa Kazi.Supu ya mbuzi huwa inanishinda harufu tu