Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 51,106
- 122,492
Kazi ni kazi mradi mkono uende kinywaniTu-tafika popote pale kimaisha endapo tutaweka nia na kuchapa Kazi.
Kazi ni kazi mradi mkono uende kinywaniTu-tafika popote pale kimaisha endapo tutaweka nia na kuchapa Kazi.
Kinywani kutatoa harufu endapo utaudharau mswaki.Kazi ni kazi mradi mkono uende kinywani
Kinywani kubaya usipopiga mswakiKazi ni kazi mradi mkono uende kinywani
Mswaki bila kuwa na dawa huwa sipendiKinywani kubaya usipopiga mswaki
Sipendi dawa mimi huwa natumia jivuMswaki bila kuwa na dawa huwa sipendi
Jivu? Mmh. Hongera sanaSipendi dawa mimi huwa natumia jivu
Sana sana tupo pamoja kama chips na yaiJivu? Mmh. Hongera sana
Sana nilimuhitaji bwana yule tubadilishane mawazo.Jivu? Mmh. Hongera sana
Mawazo tu naamini kila mtu anayoSana nilimuhitaji bwana yule tubadilishane mawazo.
Anayo mawazo kila binadamu,ushawahi kuusikia wimbo wa mawazo wa ladyjadee.Mawazo tu naamini kila mtu anayo
Ladyjaydee aliuimba ndio naukumbuka sana. "Tukikaa tukitembea tuna mawazo" hahaaa. Nimeshausikia sema kitambo sanaAnayo mawazo kila binadamu,ushawahi kuusikia wimbo wa mawazo wa ladyjadee.
Sana Mimi pia nimeusikia..hahaha kamanda jide alitisha.Ladyjaydee aliuimba ndio naukumbuka sana. "Tukikaa tukitembea tuna mawazo" hahaaa. Nimeshausikia sema kitambo sana
Muziki wowote mzuri unaovutia masikioni mwangu ndio napenda.Sana Mimi pia nimeusikia..hahaha kamanda jide alitisha.
Unapenda aina gani ya muziki.
Napenda hata mimi muziki mzuri,wacha tufurahi tu maisha yenyewe mafupi.Muziki wowote mzuri unaovutia masikioni mwangu ndio napenda.
Mafupi kweli mkuu penye kufurahi wacha tufurahiNapenda hata mimi muziki mzuri,wacha tufurahi tu maisha yenyewe mafupi.
Tufurahi tena sana pale inapotokea furahaMafupi kweli mkuu penye kufurahi wacha tufurahi
Tufurahi haswa kwasababu Sisi sote ni ndugu,hakuna haja ya kuishi kwa chuki,visasi na vita.Mafupi kweli mkuu penye kufurahi wacha tufurahi
Furaha yangu kukuona ushalala hadi umeamka na umesharudiTufurahi tena sana pale inapotokea furaha
Umesharudi emmyta, wewe ni mchokozi!Furaha yangu kukuona ushalala hadi umeamka na umesharudi