gbefa
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 3,807
- 15,846
Mkuu nilipitiwa na usingizi lete story sasa
Sasa hamieni pm.Mkuu nilipitiwa na usingizi lete story sasa
PM Majaliwa anaunguruma mkoa wa SongweSasa hamieni pm.
Songwe ni moja kati ya miji mipyaPM Majaliwa anaunguruma mkoa wa Songwe
Mipya, hapana bali mkoa ndio mpya!Songwe ni moja kati ya miji mipya
sasa me nishachoka mwenzio sijui tunafanyeje hapaMkuu nilipitiwa na usingizi lete story sasa
Mpya ndio kiswahili fasaha kumbe, sawa mkuuMipya, hapana bali mkoa ndio mpya!
Afya ikiwa bukheri ni jambo la kumshukuru Allah.Wewe sikuoni ujue. Mi sijambo bukheri wa afya.
Emmy waitwa pm na mwenzio mm nishaondoka na mwenzanguAfya ikiwa bukheri ni jambo la kumshukuru Allah.
Mimi nipo bize tu za hapa na pale emmy
Mwenzangu sisi twazungumza hapa hapa mana ni maneno mafupi.Emmy waitwa pm na mwenzio mm nishaondoka na mwenzangu
Maneno mafupi kwa kawaida yake huwa na ujumbe mrefuMwenzangu sisi twazungumza hapa hapa mana ni maneno mafupi.
Ujumbe mrefu na wenye kufundisha pia.Maneno mafupi kwa kawaida yake huwa na ujumbe mrefu
Pia chakula cha mihogo husababisha mwili kupata nguvu, kama vyakula vingine vya wanga.Ujumbe mrefu na wenye kufundisha pia.
Wanga huwa nawasikia tu kwa kweliPia chakula cha mihogo husababisha mwili kupata nguvu, kama vyakula vingine vya wanga.
Kwa kweli mimi nishazoea kuwaona, na kuwahisi pia. Tena zaidi ya hao nao. Utotoni niliogopa sana ila kwa sasa ni sehemu ya mapito tu.Wanga huwa nawasikia tu kwa kweli
Tutabidi tuje na sisi tuwaone ili tupate kuwazoweaKwa kweli mimi nishazoea kuwaona, na kuwahisi pia. Tena zaidi ya hao nao. Utotoni niliogopa sana ila kwa sasa ni sehemu ya mapito tu.
Kuwazoea sio suala rahisi, wanaogofya sana. Sisi wengine tulizaliwa roho zetu zikiwa na nguvu za ziada.Tutabidi tuje na sisi tuwaone ili tupate kuwazowea