Foxhound
JF-Expert Member
- Dec 15, 2013
- 28,735
- 76,360
Hilo haliepukiki kwa yule jamaaHilo haliepukiki
sent from my Samsung smart tv using JamiiForums
Hilo haliepukiki kwa yule jamaaHilo haliepukiki
Jamaa ukimwangalia hana tofauti na yule mhenga aliyesema pombe si chaiHilo haliepukiki kwa yule jamaa
sent from my Samsung smart tv using JamiiForums
Pombe si chai, kwani wewe hujuiJamaa ukimwangalia hana tofauti na yule mhenga aliyesema pombe si chai![]()
Sent from my TECNO W4 using JamiiForums mobile app
Hujui siku hizi kila mtu ni mhengaPombe si chai, kwani wewe hujui
sent from my Samsung smart tv using JamiiForums
Mnamkumbuka wambuzi sijamuona jukwaani siku nyingi.Mhenga aliesema 'maraika wataishi kama mashetani mnamkumbuka
Sent from my SM-G610F using JamiiForums mobile app
Siku nyingi mno alilala kitandani kwa homa isiyojulikana, wala kuwa na tiba. Lakini kwa maombi yao, aliamka salama.Mnamkumbuka wambuzi sijamuona jukwaani siku nyingi.
Salama kabisa ila nasikia Khalfan Kikwete mgonjwa Mungu ampe wepesi.Siku nyingi mno alilala kitandani kwa homa isiyojulikana, wala kuwa na tiba. Lakini kwa maombi yao, aliamka salama.
Mmeamkaje humu ndani....
Mungu ampe wepesi kwa kweli, ili arejee kwa majukumu yake.Salama kabisa ila nasikia Khalfan Kikwete mgonjwa Mungu ampe wepesi.
Majukumu yake hatoyafanya mpaka apate ahueni. Nakusalimia mzima?..Mungu ampe wepesi kwa kweli, ili arejee kwa majukumu yake.
Jamaa mwenyewe si mwingine ni Smart911 my one and only
Sana sana mje mkaribie uji asubuhi hii, kabla ya chai hapo baadaeNiliwamiss mno hata mimi. Mi sijambo sana
Hapo baadae mi ndio nitakaribia chai. Ila Uji ahsante mana ntakuwa kibonge..Sana sana mje mkaribie uji asubuhi hii, kabla ya chai hapo baadae
Kibonge ni mtu wa namna gani?Hapo baadae mi ndio nitakaribia chai. Ila Uji ahsante mana ntakuwa kibonge..
Namna gani nakuona ulivyoususa huu uzi. Mzima wewe?..Kibonge ni mtu wa namna gani?
Wewe na mimi naamini sote tuwazima. Uzi sijaususa mambo tu yanaingilianaNamna gani nakuona ulivyoususa huu uzi. Mzima wewe?..
Yanaingiliana saa nyingine ila ndio huwa hakuna jinsi.Wewe na mimi naamini sote tuwazima. Uzi sijaususa mambo tu yanaingiliana