bbc
JF-Expert Member
- Jan 18, 2016
- 3,836
- 4,152
Nyote mjaaliwe mwamke salama kesho tayari kwa mihangaiko mingine.Hadharani hakufahi kuonesha zawadi ya ushindi, tutaionesha ukumbini.
Niwatakie usiku mwema ninyi nyote.
Nyote mjaaliwe mwamke salama kesho tayari kwa mihangaiko mingine.Hadharani hakufahi kuonesha zawadi ya ushindi, tutaionesha ukumbini.
Niwatakie usiku mwema ninyi nyote.
Mingine imetuacha hoi bado hatuja amka usingizi umetujaa teleNyote mjaaliwe mwamke salama kesho tayari kwa mihangaiko mingine.
Umetujaa tele usingizi hata mie pia. Mtebetini hulali...Mingine imetuacha hoi bado hatuja amka usingizi umetujaa tele
Hulali kwakua huna usingiz au kuna jambo linakutatiza usipate usingiziUmetujaa tele usingizi hata mie pia. Mtebetini hulali...
Usingizi ni kitu kibaya sanaHulali kwakua huna usingiz au kuna jambo linakutatiza usipate usingizi
Sana ukiuendekeza kupita kiasiUsingizi ni kitu kibaya sana
sent from my Samsung smart tv using JamiiForums
Usingizi kukosekana una mengi saa nyingine kuwahi kulalaHulali kwakua huna usingiz au kuna jambo linakutatiza usipate usingizi
. Zamani ndio nilikuwa na hiyo tabia ila nshaiacha hiyo hiyo zamani.Kiasi naanza kukuelewa dingiSana ukiuendekeza kupita kiasi
Dingi ana anashukuru kwa hilo,Kiasi naanza kukuelewa dingi
"Hilo nalo neno" alisikika akisema mama mmoja pale uwanjaniDingi ana anashukuru kwa hilo,
Uwanjani naskia leo tutamuona Rooney"Hilo nalo neno" alisikika akisema mama mmoja pale uwanjani
Uwanja upi huo embu tuambie"Hilo nalo neno" alisikika akisema mama mmoja pale uwanjani
Tuambie na wewe mi nasemea Uwanja wa TaifaUwanja upi huo embu tuambie
Taifa letu limekosa wazalendoTuambie na wewe mi nasemea Uwanja wa Taifa
Wazalendo ni wananchi wanaoingia jeshini kwa mara ya kwanzaTaifa letu limekosa wazalendo
Kwa mara ya kwanza, baada ya miezi mitatu ndio aliikumbuka njia aliyoitumia kuingilia kambini.Wazalendo ni wananchi wanaoingia jeshini kwa mara ya kwanza
Kambini kuna matesoKwa mara ya kwanza, baada ya miezi mitatu ndio aliikumbuka njia aliyoitumia kuingilia kambini.
Mateso au mafunzoKambini kuna mateso
Mafunzo ya kuumizana ndo mafunzo gani?Mateso au mafunzo
Mafunzo gani ya lazima kuyapitia ili kuingia kwenye ndoa?Mafunzo ya kuumizana ndo mafunzo gani?