God Heals
JF-Expert Member
- Aug 7, 2015
- 720
- 1,370
Aje kama wa Ali Kiba, aje asiogopeKuwaita ndio bora sana waite hadi yule nayemuite mwambie aje
Aje kama wa Ali Kiba, aje asiogopeKuwaita ndio bora sana waite hadi yule nayemuite mwambie aje
Asiogope aje tu huku jf tumuone na sisi. Nakusalimu brother mzima?...Aje kama wa Ali Kiba, aje asiogope
Mzima mimi ila cjui huko wewe emmyta"""nipe story mtto mzuriAsiogope aje tu huku jf tumuone na sisi. Nakusalimu brother mzima?...
Mzima ww emmyta?....Asiogope aje tu huku jf tumuone na sisi. Nakusalimu brother mzima?...
Mzuri kama ua la uwaridiMzima mimi ila cjui huko wewe emmyta"""nipe story mtto mzuri
Wewe hujambo basi na mimi sijambo ni mzma kabisaUwaridi, vilua, zaituni daah. thatsit njoo umalizie. Mi sijambo mzima wewe?
Kabisa yaani mzazi kamkataa mwanae wa kumzaaWewe hujambo basi na mimi sijambo ni mzma kabisa
Mzima kabisa namshukuru muumba siku zinasonga mbele.Wewe hujambo basi na mimi sijambo ni mzma kabisa
Mbele tusonge na kujituma tutaona matunda yakeMzima kabisa namshukuru muumba siku zinasonga mbele.
Matunda yake aliyejituma yataliwa na watu wakeMbele tusonge na kujituma tutaona matunda yake
Bukheri wa afya tele. Tunausongesha uzi wa wambuzi kama kawaida yetuMzima wewe? Emmyta mi namshukuru Mwenyezi Mungu Alhamdulillahi mzima bukheri wa afya
Watu wake pekee ndio wanaopeta awamu hiiMatunda yake aliyejituma yataliwa na watu wake
Awamu hii lazima uwe na vitu vya ziada ili waweze kukuelewaWatu wake pekee ndio wanaopeta awamu hii
Kukuelewa tumekuelewa ila mnatukeraAwamu hii lazima uwe na vitu vya ziada ili waweze kukuelewa
Mnatukera sana ila basi tu. Kina nani hao wataje tuKukuelewa tumekuelewa ila mnatukera
Wataje tu maana usipowataja we ndo utakuwa unatukera wanajamviMnatukera sana ila basi tu. Kina nani hao wataje tu