Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,718
- 126,563
Anaishi wapi Wambuzi muasisi wa huu uzi?Zake Alifariki kwa kupigwa Risasi katika klabu Moja nchin South Africa Alipokuwa Anaishi
Anaishi wapi Wambuzi muasisi wa huu uzi?Zake Alifariki kwa kupigwa Risasi katika klabu Moja nchin South Africa Alipokuwa Anaishi
Uzi huu hauwezi kwisha hata akirudiAnaishi wapi Wambuzi muasisi wa huu uzi?
Zetu dagaa, nyama ni kiherehereAkirudi Barick kwa mara nyingine tena tutaona mwafaka wa kunufaika na maliasili zetu.
Kiherehere cha kutoa haja kubwa ukiona tundu la chooZetu dagaa, nyama ni kiherehere
Choo sipati hata cha kulipiaKiherehere cha kutoa haja kubwa ukiona tundu la choo
Kulipia kodi ya jengo kumetamalakiChoo sipati hata cha kulipia
Rufiji na kibiti vitaisha ila havitaacha watu salama
Mazoea siyo mazuri mwisho wa siku utazoea majiniSalama salmini waliwasili kwenye maonesho ya kibiashara ya mazoea
Majini ni viumbe nilivyokumbana navyo sana nilipokuwa Lindi na N'twaraMazoea siyo mazuri mwisho wa siku utazoea majini
Lindi na mtwara kuna gas lakini hawakamtiki kiumaskiniMajini ni viumbe nilivyokumbana navyo sana nilipokuwa Lindi na N'twara
Hawakamatiki kiusmakini kwa kweli, ukiingia huko ndani ndani utalia.Lindi na mtwara kuna gas lakini hawakamtiki kiumaskini
Utalia kama hutakuwa makini na jiji la dar es salaamHawakamatiki kiusmakini kwa kweli, ukiingia huko ndani ndani utalia.
Dar es salaam jiji la mabashite. Nawasilimu jamani mi sijambo sijui wenzangu humu..Utalia kama hutakuwa makini na jiji la dar es salaam
humu ndani mna watu wa rangi tofautiDar es salaam jiji la mabashite. Nawasilimu jamani mi sijambo sijui wenzangu humu..
Pia salamu ni muhimu katika huu uzi wetuTofauti na jana, leo nimeamka vzr sana emmyta, naamini na wengine pia
Wetu udugu na ujamaa uendelee humu ndani maana mshindi tumeshindwa kumpata.Pia salamu ni muhimu katika huu uzi wetu