Itukomboe katika kutegemea misaada...Bora koncho77 umeliona hilo...
Mwalim alikazania sana elimu itukomboe
Misaada mingi ina masharti magumuItukomboe katika kutegemea misaada...
magumu ni yale usiyoweza kuyatekeleza...Misaada mingi ina masharti magumu
Kuyatekeleza uliyoniahidi cdhani km utawezamagumu ni yale usiyoweza kuyatekeleza...
Kuyateleleza ni vigumu na mwisho wa siku tuna toa madini bure kwa wanao tupa masharti na kuwafutia kodi huku wakiendelea kutufilisi mali asili zetu watanzaniamagumu ni yale usiyoweza kuyatekeleza...
Watanzania walililia kupata rais mkali, sasa wamempata wanaweweseka...Kuyateleleza ni vigumu na mwisho wa siku tuna toa madini bure kwa wanao tupa masharti na kuwafutia kodi huku wakiendelea kutufilisi mali asili zetu watanzania
inatunyonya damu na mwisho itatuacha na ngozi tu...Kuyatekeleza ni vigumu pia sababu mikataba mingi inatunyonya.
Walioajiriwa ndio wanaweweseka na uhakiki usiokuwa na kikomoWanaweweseka walio chini ya ajira ama walioajiriwa.
5yrs are like 50 yrs let us continue read number...no way out..Walioajiriwa serikalini kimbembe wanacho these 5yrs![]()
Nini hujui hapo, prefer ni pendelea!Prefer kwa kiswahili ina maanisha nini?
Pendelea kusoma nyuzi mbalimbali ili kuongeza maarifa zaidiNini hujui hapo, prefer ni pendelea!