Fisiem huwa siwaelewi kabisaWasioaminika ni fisiem.
Kabisa yaani, mimi ndio sipendi hata kusikia habari zao.Fisiem huwa siwaelewi kabisa
Kabisa kuwaelewa ningumu bora kujiunga naoFisiem huwa siwaelewi kabisa
Zao kuu mkoa wa kagera ni kahawaKabisa yaani, mimi ndio sipendi hata kusikia habari zao.
Kahawa ni zao linalolimwa hata Mbeya, Songwe, na majirani zao.Zao kuu mkoa wa kagera ni kahawa
Katani ni zao lililogharimu uwahi mwingi wa babu zetu enzi za mkoloni.Zao la biashara linaloshika kasi kwa sasa ni katani.
Mkoloni angekuwepo mpaka sasa tusingekuwa hapaKatani ni zao lililogharimu uwahi mwingi wa babu zetu enzi za mkoloni.
Lao lengo lilikuwa zuri kwa uhai wa wajukuu zao, kwetu haikuwa sana. Ila hata mkwele alisema, "ukitaka kula, sharti uliwe....."Mkoloni alitufungulia njia nyingi zamaendeleo,tunamshukuru kweli.
Na bado yupo ila uyu wa sasa ni "baba lao"
Mkuu hili neno limekuwa maarufu sana humuHapa kwenyewe tunasonga kwa sababu ya mkoloni mkuu.
Leo ni trh 28Tena hili jukwaa limenoga leo
Nimpendae bado sijabahatika kumuona28th ni siku ya kuzaliwa nimpendae.