Makubwa kama sio mzoefu mbona Biriani nayo pia imeandaliwaMapishi yake lazima yafuatane na maandalizi yake na maandalizi lazima yawe makubwa.
Kweli leo ni siku muhimu kwa waislam, eid mubarack watu woteImeandaliwa na watu wa Pwani maana nasikia watu wa kanda ya ziwa hawajui mapishi yake sina uhakika kama ni kweli.
Wote wameshapata mwaliko kasoro mimi, ngoja nijiongeze kwa jirani kudoea msosiKweli leo ni siku muhimu kwa waislam, eid mubarack watu wote
Tuje tule pilau Leo?Mialiko ni mingi n mpk sasa cjajua niende wapi.... Kweli Eid imeninoga japo ningali msindikizaji tu
Leo nawasalimu wote Asalaam aleykumTuje tule pilau Leo?
"Aleykum" ni kiarabu kwa kiebrania ni "Aleikhem"Leo nawasalimu wote Asalaam aleykum
Aleikhem siijui. Kiebrania ni mojawapo ya lugha zilizokufa"Aleykum" ni kiarabu kwa kiebrania ni "Aleikhem"
Zilizokufa ni Greek na kilatini kiebrania kinatumika huko IsraelAleikhem siijui. Kiebrania ni mojawapo ya lugha zilizokufa
Israel imeifanya hiyo lugha kama moja ya lugha zao asante kwa masahihishoZilizokufa ni Greek na kilatini kiebrania kinatumika huko Israel
Masahihisho yaliyofanyika na Raisi kuhusu Watoto kupata mimba ni manufaa kwa taifaIsrael imeifanya hiyo lugha kama moja ya lugha zao asante kwa masahihisho
Taifa letu limejaa watu wasiotoa like kama weweMasahihisho yaliyofanyika na Raisi kuhusu Watoto kupata mimba ni manufaa kwa taifa
Wewe daby hivi katika watoa like za kumwaga nawe ni mmoja wapoTaifa letu limejaa watu wasiotoa like kama wewe
Wapo wengi ila huyo kazidi.Wewe daby hivi katika watoa like za kumwaga nawe ni mmoja wapo
Kweli mie nitakupa wewe sema lengo tuMimi nitakuwa na lengo gani kaka masai. Hahaaa. Nikiwa na lengo utanipa hata like kweli....
Tuachane nayo bana lengo lilikuwa la kwenda kwa morombo kula nyama choma..Kweli mie nitakupa wewe sema lengo tu