Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 51,095
- 122,457
Sana sana pale nje ndio ninapopendelea kukaa mara kwa maraMume mwema kumpata omba Mungu sana
Sana sana pale nje ndio ninapopendelea kukaa mara kwa maraMume mwema kumpata omba Mungu sana
Mara hii tumebadilikiwaSana sana pale nje ndio ninapopendelea kukaa mara kwa mara
Sana hua naomba lakini hajatokea nanimekata tamaaMume mwema kumpata omba Mungu sana
Tumebadirikiwa na nani tena wakati wewe mwenyewe ndio sterling? Au wa kihindi wewe?Mara hii tumebadilikiwa
Wewe? Shemejiii me mswahili ujue sio mhindiTumebadirikiwa na nani tena wakati wewe mwenyewe ndio sterling? Au wa kihindi wewe?
Mhindi wa Makolola au RasKazoni wewe, ramadhani vipi lakini iko poa?Wewe? Shemejiii me mswahili ujue sio mhindi
Poa sana shem languuu inaishia zakeee hivoooMhindi wa Makolola au RasKazoni wewe, ramadhani vipi lakini iko poa?
Mhindi ni umoja wa neno MahindiWewe? Shemejiii me mswahili ujue sio mhindi
Mahindi siyapendi yachomwe hata yachemshweMhindi ni umoja wa neno Mahindi
Yachemshwe yale maji ya kukoga na yatiwe ilikiMahindi siyapendi yachomwe hata yachemshwe
Mhindi ni umoja wa neno Mahindi
Iliki kwani hiyo chaiYachemshwe yale maji ya kukoga na yatiwe iliki
Somo hili sijawah kuliona hayafaiMahindi yanafaa kwa futari kweli?, hebu mamaa mamaafacebook II atupe somo
Somo hili sijawah kuliona hayafai
Linikwani unataka??? Nasinzia shemHayafai kwa sababu hujasoma au hujayajaribu?, nakuaminikia kwa mambo ya vyakula, tanga tena sio mchezo. Mandi ya mbuzi lini?
Hamuu hii msiniaie hivi naangalia baada ya mfungo kuisha in shaa Allah
Jamno jema linapaswa kufanywa na sie wote, tuko pamoja kaka, uko tayari kwa tafrija?Sana huwa nafurahi nikiona mtu anafanya jambo jema