Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 51,110
- 122,503
Ngoswe kitovu cha uzembeMazoea yalimponza ngonswe
Ngoswe kitovu cha uzembeMazoea yalimponza ngonswe
james tupatupa alinyolewa upala kisa mpiraComey ni surname hiyo just call me James
Uzembe wa viongozi wa awamu zilizopita ndiyo umetufikisha hapa, kila sehemu pako hovyo!!Ngoswe kitovu cha uzembe
Hovyo kabisa na hiyo imesababisha kiongozi wa awamu hii kila anaporekebisha anaonekana hayuko sahihi.Uzembe wa viongozi wa awamu zilizopita ndiyo umetufikisha hapa, kila sehemu pako hovyo!!
Sahihi yangu nimeitia kwenye maridhiano ya kupokea Noah yanguHovyo kabisa na hiyo imesababisha kiongozi wa awamu hii kila anaporekebisha anaonekana hayuko sahihi.
Sahihi kabisa huenda baada ya miaka kadhaa tutaona matunda ya anachofanya kiongozi wetu sasaHovyo kabisa na hiyo imesababisha kiongozi wa awamu hii kila anaporekebisha anaonekana hayuko sahihi.
Sasa nimeamini huu mchezo hauna mshindiSahihi kabisa huenda baada ya miaka kadhaa tutaona matunda ya anachofanya kiongozi wetu sasa
Mshindi ni mimi nyie wqsindikizaji tuSasa nimeamini huu mchezo hauna mshindi
Tulia basi kaka masai mimi niwe mshindi wenuMshindi ni mimi nyie wqsindikizaji tu
Wenu mshindi nitakua mimiTulia basi kaka masai mimi niwe mshindi wenu
Wenu nyote ushindi!! Haya nendeni mkalale kesho muwahi kaziniTulia basi kaka masai mimi niwe mshindi wenu
Kazini kwangu mkoloni siku hizi anabanaWenu nyote ushindi!! Haya nendeni mkalale kesho muwahi kazini
Anabana hadi getini.Kazini kwangu mkoloni siku hizi anabana
Dude wanaamshiana kaka zetu wa kolomije..Anabana hadi getini.
Acheni kulumbana, mimi tayari ni mwenyekiti hapa, muda wowote naliamsha dude
Kolomije kwa Bashite mtoto pendwa wa mkuu wa kaya asiye na vyetiDude wanaamshiana kaka zetu wa kolomije..
Vyeti vyako wewe vipo?Kolomije kwa Bashite mtoto pendwa wa mkuu wa kaya asiye na vyeti
vipo kavicheki instaVyeti vyako wewe vipo?
Insta hii hii nayoijua?vipo kavicheki insta
Nayoijua wala siyo nzuri, labda nisiyoijua!Insta hii hii nayoijua?
Nisiyoijua hainihusu kama behewa fakeNayoijua wala siyo nzuri, labda nisiyoijua!