Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,718
- 126,564
Huu ni muda mwafaka wa kubadilishana mawazo baada ya kupoteana kwa muda mrefuOverrated prezdar Dr.John P Magufuli salamu zikufikie kokote ulipo wakati huu
Huu ni muda mwafaka wa kubadilishana mawazo baada ya kupoteana kwa muda mrefuOverrated prezdar Dr.John P Magufuli salamu zikufikie kokote ulipo wakati huu
Mrefu Hashim thabiti wewe mwifwa unamjua?Huu ni muda mwafaka wa kubadilishana mawazo baada ya kupoteana kwa muda mrefu
Unamjua kivipi mtu mwenyewe hata hagongi headlines huko trumplandMrefu Hashim thabiti wewe mwifwa unamjua?
Trumpland wanasuport mambo machafuUnamjua kivipi mtu mwenyewe hata hagongi headlines huko trumpland
Machafu sana maji ya bwawaniTrumpland wanasuport mambo machafu
Bwawani kuna chunusi etMachafu sana maji ya bwawani
Hill nalo neno, leo pia nachukua point 3Eti unauliza na hilo?
Point 3 kama zile zilizomliza simba si ndio unazozisemea hizoHill nalo neno, leo pia nachukua point 3
Hizo za mezani alizokuwa anataka kuzichukua?Point 3 kama zile zilizomliza simba si ndio unazozisemea hizo
Kuzichukua ndio utadhani walishinda uwanjaniHizo za mezani alizokuwa anataka kuzichukua?
Uwanjani wakiingia kucheza wanakuwa na allergy wao wanataka za mezani tu!!Kuzichukua ndio utadhani walishinda uwanjani
Walishinda uwanjani siku nzima kusubiri kupiga picha na mgeni rasmi lakini hawakufanikiwaKuzichukua ndio utadhani walishinda uwanjani
Hawakufanikiwa licha ya kufanya yote hayo.Walishinda uwanjani siku nzima kusubiri kupiga picha na mgeni rasmi lakini hawakufanikiwa
Huko uliko unajua kuwa we ndo umepotea,sijui mfungo unakufichaHawakufanikiwa licha ya kufanya yote hayo.
Mzima jamani sio kwa kupotea huko.
Unakuficha ule ukuta uliozungusha pale kwako. Mi nipo bukheri wa afyaHuko uliko unajua kuwa we ndo umepotea,sijui mfungo unakuficha
Unakuficha ukishindwa kuendana na kasiHuko uliko unajua kuwa we ndo umepotea,sijui mfungo unakuficha
Kasi yenu ya Ku log in ktk Uzi huu imepungua kwa spid ya mikataba ya madiniUnakuficha ukishindwa kuendana na kasi
Madini ya acacia kwenye soko la hisa uingerezaKasi yenu ya Ku log in ktk Uzi huu imepungua kwa spid ya mikataba ya madini