Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
Tena punguza hasiraNaondoka na msinitafute tena
Tena punguza hasiraNaondoka na msinitafute tena
Hasira hasara my wi hebu mwambieTena punguza hasira
Niite pia na mimi, Ngoja niende zanguTena hadi wewe mi nimesharudi basi na wewe nenda ukirudi niite
Zangu akili nazijua mwenyeweNiite pia na mimi, Ngoja niende zangu
Zangu zilinipotea na sidhani km nitazionaNiite pia na mimi, Ngoja niende zangu
Mwenyewe ameshaondoka saa nyingiZangu akili nazijua mwenyewe
Nyingi zipiMwenyewe ameshaondoka saa nyingi
Zipi huwa inatumika katika sentensi gani!?Nyingi zipi
Mmoja akiwa mshindi sote tuandamane au unasemaje..Basi na ikawa vile mwanamke ataungana na mwanaume nao watakuwa u mwili mmoja
Unasemaje kama nikikuambia me naogopa rungu la mdhibitiMmoja akiwa mshindi sote tuandamane au unasemaje..
Mdhibiti ndio nani, ujue sijamjua hata.Unasemaje kama nikikuambia me naogopa rungu la mdhibiti
Hata hujui kuwa kuna kitu kinaitwa ban humuMdhibiti ndio nani, ujue sijamjua hata.
Aroo!! Kijana kuja apa mbona unaleta fujoHumu sio Facebook aroo,
Fujo kama tupo darasaniAroo!! Kijana kuja apa mbona unaleta fujo
Darasani kuna watt watukutu, nashkuru nimemaliza kusoma salama.Fujo kama tupo darasani
Salama salim siku zinasonga mbeleDarasani kuna watt watukutu, nashkuru nimemaliza kusoma salama.
Mbele kwa mbele km loriSalama salim siku zinasonga mbele