Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,718
- 126,563
Error cause deviation from true valueTyping error
Error cause deviation from true valueTyping error
Valuer!!! What u meanValue or valuer
Valuer??Value or valuer
Kizungu ni uduwanzi.Valuer??
Ngoja niacheke kithungu kiitwe kizungu
Ahsanteni sana!!Kutorewa njekwa wabunge nikuwafundisha wegine wasikiuke sheriazabunge iraserekari iwafikirie kwakua wanapoteza maendereo yawananchi warudishwe bungeni kwamikakatj mikari wasirudietena kwaniwananchi wanasubimaendereo na wakirudishwa waregemaendereo nawaraisiwe viginevyo asanteni
Uzi umazidi kunogaAhsanteni sana!!
Wewe mloki umekuja kwa spidi kali na kupiga gia angani, fuata taratibu za huu uzi ili tuweze kusema yaliyo mioyoni mwetu.
Rudi page ya kwanza utapata muongozo wa kuchangia unachotaka humu kwenye huu uzi
Hilo ni neno kama maneno mengine ya Kiingereza eg. Property valuerValuer??
Ngoja niacheke kithungu kiitwe kizungu
Valuer ni mtu ambaye anakadiria thamani au bei ya kitu kinachouzwaHilo ni neno kama maneno mengine ya Kiingereza eg. Property valuer
Kinchouzwa ndicho kinachonunuliwa, ulifikiri nilikosea hilo neno, niko vizuri. Kuna habari mpyaValuer ni mtu ambaye anakadiria thamani au bei ya kitu kinachouzwa
Mpya haijawahi kutokea katika bidhaa zote zilizopo sokoniKinchouzwa ndicho kinachonunuliwa, ulifikiri nilikosea hilo neno, niko vizuri. Kuna habari mpya
Sokoni vitu vimekuwa ghali sanaMpya haijawahi kutokea katika bidhaa zote zilizopo sokoni
Sana sana ukutie siku za sikukuu watu hawaendi mashanbani utanunua hata kwa bei ya supermarketSokoni vitu vimekuwa ghali sana
Supermarket kuna ofa nyingiSana sana ukutie siku za sikukuu watu hawaendi mashanbani utanunua hata kwa bei ya supermarket
Nyingi zilitokea dubai kijana yule alietoa ruhusa ya kuchukua unavhotaka ndani ya nusu saa sipati picha ikitokea mlimani city au citymallSupermarket kuna ofa nyingi
Citymall itakua tafran pata shika nguo chanikaNyingi zilitokea dubai kijana yule alietoa ruhusa ya kuchukua unavhotaka ndani ya nusu saa sipati picha ikitokea mlimani city au citymall
Chanika ni nje kidogo ya mji wa dar es salaam...kule kuna mihogo mizuri sanaCitymall itakua tafran pata shika nguo chanika
Ulijuaje kama mimi sipo online!Sana tu ulijuaje