Zamiluni Zamiluni
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 13,996
- 15,118
Awepo wakati alichukuwa uamuzi wa kusafiri.....?Na bibi naye alikuwa hawezi kula mpaka babu awepo.
Awepo wakati alichukuwa uamuzi wa kusafiri.....?Na bibi naye alikuwa hawezi kula mpaka babu awepo.
Kusafiri kujifunza mengiAwepo wakati alichukuwa uamuzi wa kusafiri.....?
Kusafiri mwendo mrefu kunachosha siku zote.Awepo wakati alichukuwa uamuzi wa kusafiri.....?
Siku zote weka akilini busara uleta upendoKusafiri mwendo mrefu kunachosha siku zote.
Upendo hudumisha mshikamano na ukaribuSiku zote weka akilini busara uleta upendo
Upendo kwa watanzania unahitajika sana bila kujali jinsia.Siku zote weka akilini busara uleta upendo
Jinsia hazifananiUpendo kwa watanzania unahitajika sana bila kujali jinsia.
Hazifanani kweli ila kuna wengine wanatamani zisizokuwa zaoJinsia hazifanani
Zao sio nzuri ndio maanaHazifanani kweli ila kuna wengine wanatamani zisizokuwa zao
Maana ya Shell ni kituo cha PetroliZao sio nzuri ndio maana
Zao la "mjani" kwa nyanda za juu kusini ni mboga nzuri sana.Hazifanani kweli ila kuna wengine wanatamani zisizokuwa zao
Maana huambiwa mwenye kuwa na maana laa sivyo sote hatuna maana !!!Zao sio nzuri ndio maana
Maana, yake hajui kipi kinaendeleaMaana huambiwa mwenye kuwa na maana laa sivyo sote hatuna maana !!!
Kinaendelea ni kuchapa kazi hadi kieleweke....Maana, yake hajui kipi kinaendelea
Kieleweke kipi, wakat hata kazi tena hazilipiKinaendelea ni kuchapa kazi hadi kieleweke....
Kieleweke kinachoendelea, kama vipi tugawane kilichobaki kila mtu alale mbele.Kinaendelea ni kuchapa kazi hadi kieleweke....
Kieleweke mara ngapi tangu jana tayari tulipata jibu la uhakikaKinaendelea ni kuchapa kazi hadi kieleweke....
Maana ni nini mkuu Zz..Maana huambiwa mwenye kuwa na maana laa sivyo sote hatuna maana !!!
Zz ndio umemaanisha Zamiluni zamiluni?Maana ni nini mkuu Zz..