Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 53,246
- 50,468
Wa mwisho hajapatikana tu
Kielezi , kivumishi, kitenzi tulijifunza sana kwenye kiswahili miaka hiyo.Salimini ni neno aina ya kielezi
Tutampata endapo tukizingatia kanuni za huu uzi.Wa mwisho hajapatikana tu
Tutampata endapo tukizingatia kanuni za huu uzi.
mshindi atapatikana tu, maana hakuna marefu yasiyokuwa na ncha, wahenga walisemaUzi huu abadani hautapata mshindi
Walisema kuwa cha mtu mavimshindi atapatikana tu, maana hakuna marefu yasiyokuwa na ncha, wahenga walisema
Mavi ya kale hayanukiWalisema kuwa cha mtu mavi
Hayanuki kwa sababu yamekauka ole wako uyamwagie majiMavi ya kale hayanuki
Maji ni kitu muhimu kwa kila kiumbeHayanuki kwa sababu yamekauka ole wako uyamwagie maji
Kila kiumbe kitaonya umautiMaji ni kitu muhimu kwa kila kiumbe
Sote tujiandae kukutana na kifoUmauti upo kwetu sote
Hakikwepeki kweli ila vifo vingine ni vya kujitakiaKifo kipo tu na wala hakikwepeki
Kujitakia kivipiHakikwepeki kweli ila vifo vingine ni vya kujitakia
Kivip? Hujui kuna wengine wanaenda iba mida hii sasa anakukuta macho unapost JF kama hivi unamwitia mwizi watu wanatoka wanampiga anakufaKujitakia kivipi
Anakufa kwa sababu kaenda kuiba je kama angeamua kufanya biashara? Si angepata rizki yake ya halaliKivip? Hujui kuna wengine wanaenda iba mida hii sasa anakukuta macho unapost JF kama hivi unamwitia mwizi watu wanatoka wanampiga anakufa
Ya halali hutajiriki fastaAnakufa kwa sababu kaenda kuiba je kama angeamua kufanya biashara? Si angepata rizki yake ya halali