Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 51,121
- 122,550
Jua nakuona jinsi ulivyo mbishiHata iweje siwezi kukuta jipya chini ya jua
Jua nakuona jinsi ulivyo mbishiHata iweje siwezi kukuta jipya chini ya jua
Duara ni mviringo na siyo ilonyooka.......Dunia ni duara
Ilonyooka ni namba moja pekeeDuara ni mviringo na siyo ilonyooka.......
Mbishi Nikki mimi ni mpole and understandingJua nakuona jinsi ulivyo mbishi
Understanding my opinionMbishi Nikki mimi ni mpole and understanding
My opinion goes against yoursUnderstanding my opinion
Pekee naona umependa kunielewa.....Ilonyooka ni namba moja pekee
Kunielewa kuna hitaji muda wa ziadaPekee naona umependa kunielewa.....
Kunielewa sio kazi ngumu siku zotePekee naona umependa kunielewa.....
Ziada sintokupa maana wapo wengi ktk foleni niwahudumie.....Kunielewa kuna hitaji muda wa ziada
Zote ni siku za Mungu hata uipozijali ipo siku zitakuwa njema na zipo siku zitakuwa za dhikiiKunielewa sio kazi ngumu siku zote
Dhiki mwisho wake ni farajaZote ni siku za Mungu hata uipozijali ipo siku zitakuwa njema na zipo siku zitakuwa za dhikii
Dhiki ni kipimo cha akiliZote ni siku za Mungu hata uipozijali ipo siku zitakuwa njema na zipo siku zitakuwa za dhikii
Faraja ukiwa hujala ni kelele tuuDhiki mwisho wake ni faraja
Tuungane kwa pamoja kutokomeza udhalilishaji wa kijinsiaFaraja ukiwa hujala ni kelele tuu
Kijinsia mimi ni mwanaume!Tuungane kwa pamoja kutokomeza udhalilishaji wa kijinsia
Mwanaume bora ni yupiKijinsia mimi ni mwanaume!
Yupi, ni yule audhihirishaye uanaume wake!Mwanaume bora ni yupi