Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 51,084
- 122,429
Watu wa humu leo wako busy kuliko siku zoteKila kukicha usisahau kumuomba na kumshukuru Mungu kwa hilo la kupendwa na watu
Watu wa humu leo wako busy kuliko siku zoteKila kukicha usisahau kumuomba na kumshukuru Mungu kwa hilo la kupendwa na watu
Watu wa humu leo wako busy kuliko siku zote
Mchanga watauweza kweli mana una mengi ule mana na mengine hata hayajajulikana badoSiku zote wanakuwa wameshaingia mida kama hii, labda wako siasani wanakagua mchanga
Mchanga watauweza kweli mana una mengi ule mana na mengine hata hayajajulikana bado
Kwa kweli tusubiri hiyo ripoti inayofuata nayo tuione inasemajeBado kazi ni kubwa kwa kweli,
Inasemaje ile fomu waliyokupa??Kwa kweli tusubiri hiyo ripoti inayofuata nayo tuione inasemaje
Inasemaje Dar, swali la kijingaKwa kweli tusubiri hiyo ripoti inayofuata nayo tuione inasemaje
Waliyokupa ilikuwa nzuriInasemaje ile fomu waliyokupa??
Swali la kijinga kweli na ndio mana sikulijibu. Umeshindaje lakini?Inasemaje Dar, swali la kijinga
Lakini si uliionaSwali la kijinga kweli na ndio mana sikulijibu. Umeshindaje lakini?
Uliiona ile picha?Lakini si uliiona
Picha yako ya uzeeniUliiona ile picha?
Uzeeni kwako utakuwa na gubu Sana wewePicha yako ya uzeeni
Wewe jeUzeeni kwako utakuwa na gubu Sana wewe
Je mimiWewe je
Mimi ni mtaalam wa kutengeneza feniJe mimi
Feni lipi panga boy au yale mengine ambayo siyajui jina.Mimi ni mtaalam wa kutengeneza feni
Jina langu RamadhanFeni lipi panga boy au yale mengine ambayo siyajui jina.
Ramadhani ni mwezi mtukufu hasa kwa wale waislamuJina langu Ramadhan
Waislamu kote Duniani wanatarajia kuanza Ibada ya funga mwezi utakapoandama!Ramadhani ni mwezi mtukufu hasa kwa wale waislamu