Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,718
- 126,564
Koromije ni kijiji kilichopo Mwanza ambacho sikuwahi kukisikia wakati naishi kule kwa miaka kadhaaSimile anayo kwa bwana yule wa koromije
Koromije ni kijiji kilichopo Mwanza ambacho sikuwahi kukisikia wakati naishi kule kwa miaka kadhaaSimile anayo kwa bwana yule wa koromije
Kadhaa wametoa povu kutokana na post yako kwenye thread ile ya kama una stressKoromije ni kijiji kilichopo Mwanza ambacho sikuwahi kukisikia wakati naishi kule kwa miaka kadhaa
Stress removed, nimekuja kupumzika hukuKadhaa wametoa povu kutokana na post yako kwenye thread ile ya kama una stress
"Huku kijijini hakuna kazi zaidi ya kujiajiri shambani wanangu naomba muelewe hilo kabla sijafa"Stress removed, nimekuja kupumzika huku
Asubuhi ile sitakuja kuisahau niliyopitiwa na usingizi hadi nikachelewa kufanya mambo yangu kwa wakati"Huku kijijini hakuna kazi zaidi ya kujiajiri shambani wanangu naomba muelewe hilo kabla sijafa"
baba Kanyuki aliyasema maneno yale huku akimtazama Kanyuki mtoto pekee wa kiume aliyekuwa kalala ktk mkeka asubui ile.
Wakati ni ukutaAsubuhi ile sitakuja kuisahau niliyopitiwa na usingizi hadi nikachelewa kufanya mambo yangu kwa wakati
Ukuta pia sio wa kushindana nao mana utaumiaWakati ni ukuta
Utaumia sana unapoyaamsha mapenzi kabla ya wakati wakeUkuta pia sio wa kushindana nao mana utaumia
Wake wengi saa nyingine ni kujirudisha nyumaUtaumia sana unapoyaamsha mapenzi kabla ya wakati wake
Nyuma ya kuoa wake wengi kuna sababu gani hasa.Wake wengi saa nyingine ni kujirudisha nyuma
Hasa yule kanyuki na mama yake ndio natamani kuwaona.Nyuma ya kuoa wake wengi kuna sababu gani hasa.
Kuwaona wale inahitajika safari ndefu zaidi ya kwenda KoromijeHasa yule kanyuki na mama yake ndio natamani kuwaona.
Koromije mbona sio mbali sana panapo uzima nitafika.Kuwaona wale inahitajika safari ndefu zaidi ya kwenda Koromije
Nitafika hivi punde!Koromije mbona sio mbali sana panapo uzima nitafika.
Kupata fursa ya kumuona jf member ni ngumu kuliko kwenda US bila VisaNitafika hivi punde!
Kwanza nianze kuwasalimu wapenzi wa huu uzi, Habari zenu wote, ni matumaini yangu wote ni wazima na mnaendelea kunufaika na Oksijeni ya bure ambayo haiihitaji hata MB kuipata.
Kuipata hii nafasi sio mchezo.Nitafika hivi punde!
Kwanza nianze kuwasalimu wapenzi wa huu uzi, Habari zenu wote, ni matumaini yangu wote ni wazima na mnaendelea kunufaika na Oksijeni ya bure ambayo haiihitaji hata MB kuipata.
Nyumbani ni nyumbani hata kama hakupikwi chaiKuipata hii nafasi sio mchezo.
Hatujambo humu karibu karibu mgeni jisikie uko nyumbani.
Chai sio lazima japokuwa inapobidi inahitajika sanaNyumbani ni nyumbani hata kama hakupikwi chai
Inahitajika sana ktk uchumi hii nguvu kazi inayopotea kutokana na madawaChai sio lazima japokuwa inapobidi inahitajika sana
Sana nimefurahi kwa kunikaribisha, bila shaka mtanionesha njia iliyo sahihi katika huu ulimwengu wa Jamii ForumChai sio lazima japokuwa inapobidi inahitajika sana