Mtonyo gani huo?Wewe tafuta fursa msanue na mwenzako tupige mtonyo
Sielewi hata mimi ujueUkweli gani emmyta!, mbona siwaelewi
Ujue siamini km huu uzi una survive![]()
![]()
![]()
. Ndio hivyo tena wa zamani uzi ila mpaka leo bado upo hai.Hai ni wilaya inayopatikana mkoani Kilimanjaro![]()
![]()
. Ndio hivyo tena wa zamani uzi ila mpaka leo bado upo hai.
Haina utani kwenye ulaji![]()
![]()
. Ndio hivyo tena wa zamani uzi ila mpaka leo bado upo hai.
Ulaji wa awamu hii kwenye Maofisi ya Serikali ni wa tabu mno.Haina utani kwenye ulaji
Mno imekuwa kikwazo hadi wameanza kukwapua misaada ya wahanga wa matukioUlaji wa awamu hii kwenye Maofisi ya Serikali ni wa tabu mno.
Matukio mengi ni ya kupangwa tu halafu tunaaminishwa ni coincidenceMno imekuwa kikwazo hadi wameanza kukwapua misaada ya wahanga wa matukio
Mmu ni jukwaa pendwaHaya bwna kwa heli tutakumic hasa mm
Pendwa uone rahaMmu ni jukwaa pendwa
Raha sana ukijua moyo wako unataka nini.Pendwa uone raha
Nini kilichonifanya nichelewe humu kwenye ligi?Raha sana ukijua moyo wako unataka nini.
Ligi ya mabigwa inaendeleaNini kilichonifanya nichelewe humu kwenye ligi?
Inaendelea vizuri sana, hapa ilipofikia ni patamu barabaraLigi ya mabigwa inaendelea