Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 51,084
- 122,429
Humu hatujambo wasiwasi kwenu mlioadimika tangu asubuhi hata hatuwaoni mko kimyaWaislamu kote Duniani wanatarajia kuanza Ibada ya funga mwezi utakapoandama!
Jamani wazima wote humu?
Humu hatujambo wasiwasi kwenu mlioadimika tangu asubuhi hata hatuwaoni mko kimyaWaislamu kote Duniani wanatarajia kuanza Ibada ya funga mwezi utakapoandama!
Jamani wazima wote humu?
Kimya kingi kina mshndo mkubwaHumu hatujambo wasiwasi kwenu mlioadimika tangu asubuhi hata hatuwaoni mko kimya
Kimya kimetanda mno kutokana na shughuli za kutafta rizikiHumu hatujambo wasiwasi kwenu mlioadimika tangu asubuhi hata hatuwaoni mko kimya
Riziki mafungu saba. Pole sana baada ya hizo shughuli za kutwa nzimaKimya kimetanda mno kutokana na shughuli za kutafta riziki
Nzima hiyo simu yako?Riziki mafungu saba. Pole sana baada ya hizo shughuli za kutwa nzima
Leo angalau ila jana na juzi nilitamani nisiitumie tena, ila si unajua hali zetu tena nimeamua nikomae nayoNzima hiyo simu yako?
Nimesikia imekusumbua sana leo
Nayo hayo maamuzi ni uthubutu! Una roho ngumu sana emmytaLeo angalau ila jana na juzi nilitamani nisiitumie tena, ila si unajua hali zetu tena nimeamua nikomae nayo
Emmyta huyoo. Hakuwa na jinsi ndio sababu.Nayo hayo maamuzi ni uthubutu! Una roho ngumu sana emmyta
Sababu za kutoonekana humu muda mrefu kidgo ni kwamba nilikua busy sana kuweka mambo ya bajet ya pale mjengon vizur,,na nashukuru tumemaliza salama kabsaEmmyta huyoo. Hakuwa na jinsi ndio sababu.
Salama kabisa rohoni mwanguSababu za kutoonekana humu muda mrefu kidgo ni kwamba nilikua busy sana kuweka mambo ya bajet ya pale mjengon vizur,,na nashukuru tumemaliza salama kabsa
Mwangu pia nafarijika sana nikikutana na ninyi hapa jamviniSalama kabisa rohoni mwangu
Hapa jamvini kuna watu wema sana.Mwangu pia nafarijika sana nikikutana na ninyi hapa jamvini
Wema sana hawakosekani haswa sehemu ya watu wengiHapa jamvini kuna watu wema sana.
wengi wetu shughuli zinabana na bundle linasumbua ndio maana hatuonekani humu mara kwa mara. Hamjambo lakiniWema sana hawakosekani haswa sehemu ya watu wengi
Lakini lizy mbona unapotea hivyowengi wetu shughuli zinabana na bundle linasumbua ndio maana hatuonekani humu mara kwa mara. Hamjambo lakini
Hivyo ndio ilivyokuwa masai. Nawe mzima?Lakini lizy mbona unapotea hivyo
Mzima mimi. Naona unajua kabila langu nitajie lako basi na mimiHivyo ndio ilivyokuwa masai. Nawe mzima?
Mimi pia masai kama wewe.Mzima mimi. Naona unajua kabila langu nitajie lako basi na mimi
Wewe tafuta fursa msanue na mwenzako tupige mtonyoMimi pia masai kama wewe.