James Comey
JF-Expert Member
- May 14, 2017
- 9,192
- 15,540
Kitu kinachokera ni pale unapomuona mzazi wako akirudi nyumbani baada ya kutumbuliwa.Mtaani kwetu, huwa hatuombani kitu
Kitu kinachokera ni pale unapomuona mzazi wako akirudi nyumbani baada ya kutumbuliwa.Mtaani kwetu, huwa hatuombani kitu
Kitu kimoja ni kukubali tu kuwa walituibia ya kutoshaMtaani kwetu, huwa hatuombani kitu
kitu gani hicho, au hamna ujiraniMtaani kwetu, huwa hatuombani kitu
Kutosha kujaza sahani au kikombeKitu kimoja ni kukubali tu kuwa walituibia ya kutosha
Kikombe bado pia ni kidogo, kutosha kujaza pipa la ndoo kumi na mbiliKutosha kujaza sahani au kikombe
Mbili ni ya pili kwenye namba kuanzia mojaKikombe bado pia ni kidogo, kutosha kujaza pipa la ndoo kumi na mbili
Moja jumlisha moja ni sawa na mbiliMbili ni ya pili kwenye namba kuanzia moja
Moja husimama kama mshaleMbili ni ya pili kwenye namba kuanzia moja
Mshale na mkuki ni vitu viwili tofauti.Moja husimama kama mshale
Tofauti baina yangu na wewe unaijuaMshale na mkuki ni vitu viwili tofauti.
Unaijua ile gari ilopata ajari pale Arusha ilikua ni ya mmiliki wa ile shuleTofauti baina yangu na wewe unaijua
Tofauti ya Great thinker na Bashite ni katika kujenga hoja!Mshale na mkuki ni vitu viwili tofauti.
Kieleweke vipi wakati bashite wanazid mtaaniTofauti ya Great thinker na Bashite ni katika kujenga hoja!
Habari zenu wote wapenzi wa uzi, ama nafarijika sana kurejea tena humu baada ya pilikapilika za kutwa nzima, nimefuatilia mchuano kuanzia nilipouacha jana usiku hadi sasa hivi, for real I have enjoyed much the conversation to the maximum point!
Sasa twende pamoja hadi kieleweke
Mtaani kwetu tumepiga hatua kimaendeleoKieleweke vipi wakati bashite wanazid mtaani
Kulipia vyoo vingine vya kulipia mijini ni kama hasara kwa mlipiaji, usafi hauridhishi!Wewe pia mzima Da emmyta! Mimi namshukuru Mungu naendelea kufaidi oksijeni bila kulipia
Hauridhishi kabisa mwenendo wa utawala huu!Kulipia vyoo vingine vya kulipia mijini ni kama hasara kwa mlipiaji, usafi hauridhishi!
Notification inamaanisha nn kiswahiliHauridhishi kabisa mwenendo wa utawala huu!
Muwe mnalike kabla ya kuquote ili mtu uwe updated na notifications
Kiswahili ni lugha yenye maneno machacheNotification inamaanisha nn kiswahili