Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,718
- 126,563
Aliendelea kutuusia, kama mnataka mali mtaipata shambani"Niridhikeje na hali hii ya uchumi" baba Kanyuki aliendelea...
Aliendelea kutuusia, kama mnataka mali mtaipata shambani"Niridhikeje na hali hii ya uchumi" baba Kanyuki aliendelea...
sawa mtaalamuHabari atazipata tu na atauza sura hadi kwa bei chee endapo akikiri makosa yake yote anayotuhumiwa,
Mpambanaji ebu tucheze ngoma kwa pamoja kwa kufuata kanuni za uzi huu
Mtaalam wa Huu uzi bado nipo hapa.sawa mtaalamu
mtaalamu! emmyta tupo tunapigasawa mtaalamu
... mneshindaje wapendwa?Wapendwa mbona leo sijapata mwaliko hata mmoja, mumenisusa sana! Kuweni na uungwana jamanimtaalamu! emmyta tupo tunapiga... mneshindaje wapendwa?
Balaa la njaa limekwisha baada ya mvua kunyeshajamani mwifwa karibu huku kwetu, nikupeleke ukanywe juisi tamu balaa
Kunyesha nyesha mvua mjini inaleta kero sana hasa kwa wafanyabiashara ndogo ndogoBalaa la njaa limekwisha baada ya mvua kunyesha
ndogo unapewa kwa bei rahisi pale sinza moriKunyesha nyesha mvua mjini inaleta kero sana hasa kwa wafanyabiashara ndogo ndogo

Mori umekatika kabisa baada ya kusikia sijashinda kwenye huu mchezondogo unapewa kwa bei rahisi pale sinza mori
Mchezo huu hauhitaji hasiraMori umekatika kabisa baada ya kusikia sijashinda kwenye huu mchezo
Hasira za mkizi azijuae mvuviMchezo huu hauhitaji hasira
Mvuvi wa samaki anavua na pwezaHasira za mkizi azijuae mvuvi
Pweza wanaliwa sana huku jijini Dar es SalaamMvuvi wa samaki anavua na pweza
Pweza wanaliwa sana huku jijini Dar es Salaam
Mwema uwe ucku kwenu nyote, mlale na muamke salama mpelampela wa kusaka tonge uendeleesalaam kwa wote nilikuwa bize kidogo usiku mwema
Uendelee kudumu urafiki wetu uliyo unganishwa na mwanzisha uzi huu WAMBUZIMwema uwe ucku kwenu nyote, mlale na muamke salama mpelampela wa kusaka tonge uendelee
Wambuzi last viewing forum April 13, 2017Uendelee kudumu urafiki wetu uliyo unganishwa na mwanzisha uzi huu WAMBUZI