mtebetini
JF-Expert Member
- Jul 5, 2015
- 1,924
- 2,036
Kweli naona pambano bado limepamba motoHilo swali limekaa mahara pazuri kweli
Kweli naona pambano bado limepamba motoHilo swali limekaa mahara pazuri kweli
Kweli ikazanie sana itakuweka huruHilo swali limekaa mahara pazuri kweli
Damu naiogopa nikiiona imemwagika chiniHilo ndio tatizo kubwa kwenye jamii!
Inatupasa tujue maana sahihi ya Afya bora, hapo tutaweza kupata faida nyingi sana ikiwemo kuepukana na magonjwa ya Shinikizo la damu.
Chini uvunguni mwa kitanda changu ni amazing sanaDamu naiogopa nikiiona imemwagika chini
Huru matatizo hakunaKweli ikazanie sana itakuweka huru
Sana sana kuna mavumbi huna lolote Mwifwa, amazing gn?Chini uvunguni mwa kitanda changu ni amazing sana
Unanidanganya mchana kweupee!!Huru matatizo hakuna
Nguvu zote tuzielekeze kwenye uwekezaji wa mambo mbalimbali ili tujiwekee assets kwa manufaa yetu soteHakuna maisha yasiyo na shida au matatizo ni kupambana kwa nguvu
Nguvu kwa kipindi hiki inahitajika ili kupata pesaHakuna maisha yasiyo na shida au matatizo ni kupambana kwa nguvu
Pesa imeadimika sana kwenye mzunguko mtaaniNguvu kwa kipindi hiki inahitajika ili kupata pesa
Mtaani hakuna pesa kaka, nadhani waajiliwa ndio angalau wana chochote, sisis wa kijiweni ni balaaPesa imeadimika sana kwenye mzunguko mtaani
Mtaani vijana wanaonekana kukata tamaa ya maishaPesa imeadimika sana kwenye mzunguko mtaani
Maisha yamekuwa magumu, ukipata hata kidogo mshukuru MunguMtaani vijana wanaonekana kukata tamaa ya maisha
Mungu yupo tuzidi kumuomba mpaka bashite atoe vyetiMaisha yamekuwa magumu, ukipata hata kidogo mshukuru Mungu
Vyeti vimesababisha mambo mengi sana kuibuka ambayo hatukuyatarajiaMungu yupo tuzidi kumuomba mpaka bashite atoe vyeti
hatukuyatarajia kabisa mambo kama ya kaka bashiteVyeti vimesababisha mambo mengi sana kuibuka ambayo hatukuyatarajia
Bashite ni janga la kitaifahatukuyatarajia kabisa mambo kama ya kaka bashite
Kweli ikazanie sana itakuweka huru
Nanihii madai ya cheti yameshakuwa keroUhuru wa mawao ni mzuri kuliko tendo la naniihi