Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 51,106
- 122,492
Kero sana unapokuwa na simu halafu mtandao ukasumbuaNanihii madai ya cheti yameshakuwa kero
Kero sana unapokuwa na simu halafu mtandao ukasumbuaNanihii madai ya cheti yameshakuwa kero
Ukasumbua mtandao??badili mtandao 2 ka vpKero sana unapokuwa na simu halafu mtandao ukasumbua
Ka vp bora nihame aisee mana sio kwa shida ninayoipataUkasumbua mtandao??badili mtandao 2 ka vp
Ninayoipata jioni ya leo, ni bora nisiwe onlineKa vp bora nihame aisee mana sio kwa shida ninayoipata
" Ninayoipata yote inaishia kilabuni" baba Kanyuki alisikika akilalamika toka chumbani kwake asubui ya tukio.Ka vp bora nihame aisee mana sio kwa shida ninayoipata
Tukio lipi lililotokea asubuhi?"Shida ninayoipata yote inaishia kilabuni" baba Kanyuki alisikika akilalamika toka chumbani kwake asubui ya tukio.
Asubuhi ile ilikuwa ya mashaka sana kwa mama KanyukiTukio lipi lililotokea asubuhi?
Kanyuki ndio jina la mwanao mbona jina baya hivyoAsubuhi ile ilikuwa ya mashaka sana kwa mama Kanyuki
Hivyo unavyokejeli sijapenda kabisa emmytaKanyuki ndio jina la mwanao mbona jina baya hivyo
Emmyta hawezi fanya hivyo anamjoki tuu character wangu, KanyukiHivyo unavyokejeli sijapenda kabisa emmyta
Wapendwa wa baba kanyuki walikaa kimya wakimsikiliza kwa usikivu mkubwa ile asubuiMwifwa ni mwelewa sana, kashafafanuliwa na James comey, kuweni na amani wapendwa
Wapendwa nafurahi kila nikiwaona pande hizi. jakitoo, Arabian queen na thatsit sijui wako wapiMwifwa ni mwelewa sana, kashafafanuliwa na James comey, kuweni na amani wapendwa
Asubuhi ya leo wakati Bashite alikuwa hewani kupitia TV ya koromije!Wapendwa wa baba kanyuki walikaa kimya wakimsikiliza kwa usikivu mkubwa ile asubui
Asubuhi ya leo wakati Bashite alikuwa hewani kupitia TV ya koromije!
Habari atazipata tu na atauza sura hadi kwa bei chee endapo akikiri makosa yake yote anayotuhumiwa,amelianzisha bifu na Gwajima, kasema yeye sio Akofu, na amekataa kuelezea historia ya elimu yake, kadokeza vyombo vya habari vinawanyima wana dar haki ya habari
Uzi huu unataka uanze na jinsi alivyomalizia mwenzio na usisahau kulike na wewe upate likeHabari atazipata tu na atauza sura hadi kwa bei chee endapo akikiri makosa yake yote anayotuhumiwa,
Mpambanaji ebu tucheze ngoma kwa pamoja kwa kufuata kanuni za uzi huu
Like yangu hujanipa bana James Comey, nitendee haki niridhikeUzi huu unataka uanze na jinsi alivyomalizia mwenzio na usisahau kulike na wewe upate like
"Niridhikeje na hali hii ya uchumi" baba Kanyuki aliendelea...Like yangu hujanipa bana James Comey, nitendee haki niridhike