Atakufa hata yule anayejifanya ni jabari na kutesa wenziweKifo kinaogopesha ila ndio hivyo hakuna jinsi kila mmoja wetu lazima atakufa.
Atakufa hata yule anayejifanya ni jabari na kutesa wenziweKifo kinaogopesha ila ndio hivyo hakuna jinsi kila mmoja wetu lazima atakufa.
Wenzie ndio sisiAtakufa hata yule anayejifanya ni jabari na kutesa wenziwe
Sisi hatuna ugomvi na mtuWenzie ndio sisi
Sisi pia hatutabakia hata iwejeWenzie ndio sisi
Tunaeleweshana tu mpk tunafahamiana, cjui yuko wapi leoNa mtu hata awe kama kaka Kituko hatuwezi kugombana naye tunaeleweshana tu
Leo jumatatu itakuwa kazi zimembana ila atakuja tu hata sina hofuTunaeleweshana tu mpk tunafahamiana, cjui yuko wapi leo
Hofu ya nini kwani yeye ni nani ktk serikali hii mbona unanitisha.Leo jumatatu itakuwa kazi zimembana ila atakuja tu hata sina hofu
Unanitisha na iyo miwani yakoHofu ya nini kwani yeye ni nani ktk serikali hii mbona unanitisha.
Yako iko wapi?Unanitisha na iyo miwani yako
Afya ninayo japo ni ya mgogoro
Nini maanake nini kila binadamu hajakamilika asilimia miaMgogoro wa nini tena , unagonjwa nini?

Nini kina kushangaza mzee kituko?Mgogoro wa nini tena , unagonjwa nini?
Nini kina kushangaza mzee kituko?
Afya sio kuwa na kitambi ujue!
Hilo swali limekaa mahara pazuri kweliUjue wengi hawalijui hilo
Hilo ndio tatizo kubwa kwenye jamii!Ujue wengi hawalijui hilo