Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 51,102
- 122,483
Umlete na yule mwenyekiti wa serikali za mitaa kwa ajili ya kuwa shahidiKimasai ni kabila gani kwani,ila bora uje nae maana si ndo anataka io plot,itabidi umlete
Umlete na yule mwenyekiti wa serikali za mitaa kwa ajili ya kuwa shahidiKimasai ni kabila gani kwani,ila bora uje nae maana si ndo anataka io plot,itabidi umlete
Shahidi wa mapenzi ni moyo wakoUmlete na yule mwenyekiti wa serikali za mitaa kwa ajili ya kuwa shahidi
Wako wengi ila hawafanani tabia zaoShahidi wa mapenzi ni moyo wako
Zao ni mbaya saana ikitegemea maeneo waliyopoWako wengi ila hawafanani tabia zao
Waliyopo leo ndio hao hao kila siku hakuna wapya wanao ongezeka.Zao ni mbaya saana ikitegemea maeneo waliyopo
Ongezeka na wewe kwenye hii safari ili tuwe wengiWaliyopo leo ndio hao hao kila siku hakuna wapya wanao ongezeka.
Wengi hawana raha bora kuwa wachacheOngezeka na wewe kwenye hii safari ili tuwe wengi
Wachache niliowaona alikuwepo pia emmytaWengi hawana raha bora kuwa wachache
Emmyta ndio nani, au yule mfuga paka.Wachache niliowaona alikuwepo pia emmyta
Paka mweusi wanasemaga ni paka wa wachawi eti hasa akimuona usiku.Emmyta ndio nani, au yule mfuga paka.
Emmyta ana paka mweusi, kumbe yeye ni mchawi.Paka mweusi wanasemaga ni paka wa wachawi eti hasa akimuona usiku.
Mchawi nitakuwa mimi sema tu ukweli zakumiEmmyta ana paka mweusi, kumbe yeye ni mchawi.
Zakumi mwaga mboga nimwage ugaliMchawi nitakuwa mimi sema tu ukweli zakumi
ugali alokula zukabak kenya akifika marekan atahadithia.Zakumi mwaga mboga nimwage ugali
atahadithia yoteugali alokula zukabak kenya akifika marekan atahadithia.
Yoye atakumbuka ila sio ya jfatahadithia yote
jf ya sasa mbovu sio kama ya miaka mitatu ilopita.Yoye atakumbuka ila sio ya jf
JF huwezi kuisahau maana imejaa mambo mengiYoye atakumbuka ila sio ya jf
Mengi ni ya masihara hasa MMUJF huwezi kuisahau maana imejaa mambo mengi
Jf ni mtandao ninaoupenda sanaYoye atakumbuka ila sio ya jf