Arabian queen
JF-Expert Member
- Nov 23, 2016
- 2,557
- 4,825
Hii ni inshara ya ninimie sina hiyana na mtu, hata mkulu wa awamu hii
Hii ni inshara ya ninimie sina hiyana na mtu, hata mkulu wa awamu hii
Nini kinachonivutia katika huu uzi? Ni pale ambapo neno la mwisho linabadili mwelekeo wa mada inayozungumziwa, kama ilikuwa siasa inageuka kuwa udaku.Hii ni inshara ya nini
Udaku inafata vichekesho alaf mipasho alafu malizia weweNini kinachonivutia katika huu uzi? Ni pale ambapo neno la mwisho linabadili mwelekeo wa mada inayozungumziwa, kama ilikuwa siasa inageuka kuwa udaku.

Wewe Arabian queen hujambo?Udaku inafata vichekesho alaf mipasho alafu malizia wewe![]()
Hujambo na ww za kwako uku safi kabisaWewe Arabian queen hujambo?
Kabisa nilipomuona kwa mara ya kwanza moyo ulishtuka paa, kwani alikuwa mzuri aliyeumbika kwa umbo la mithili ya malaikaHujambo na ww za kwako uku safi kabisa
Malaika unaujua uzuri wa wake ulivooKabisa nilipomuona kwa mara ya kwanza moyo ulishtuka paa, kwani alikuwa mzuri aliyeumbika kwa umbo la mithili ya malaika


au unatupiga fixi hapaHapa tulipo panaitwaje? Maana dereva hatusikilizi hata muda wa kuchimba dawa hamna na tumebanana wake kwa waume kwenye hili Lori.Malaika unaujua uzuri wa malaika ulivooau unatupiga fixi hapa
Lori la kisutu au wapiHapa tulipo panaitwaje? Maana dereva hatusikilizi hata muda wa kuchimba dawa hamna na tumebanana wake kwa waume kwenye hili Lori.
Wapi naweza nikapata utulivu wa moyo wangu, niliyekuwa naye kaamua kuniachaLori la kisutu au wapi
Kuniacha na kutokuniacha vyote ni sawa tu kwangu,silazimishagi mapenzi hasa nisipopendwaWapi naweza nikapata utulivu wa mpuo wangu, niliyekuwa naye kaamua kuniacha
Nisipopendwa na mkulu nitapendwa na wengineKuniacha na kutokuniacha vyote ni sawa tu kwangu,silazimishagi mapenzi hasa nisipopendwa
Wengine wapo na wamejaa wanawatafuta kwa udi na uvumba,vuta subra utampa tu mda ukiwadiaNisipopendwa na mkulu nitapendwa na wengine
Ukiwadia nitakuwa nimepiga hatua nzuri sana katika kuugombania ushindi wa mchezo huuWengine wapo na wamejaa wanawatafuta kwa udi na uvumba,vuta subra utampa tu mda ukiwadia
Huu mchezo nshaanza kuona dalili kua hauna mwishoUkiwadia nitakuwa nimepiga hatua nzuri sana katika kuugombania ushindi wa mchezo huu
Mwishoni baada ya kujiridhisha na utafiti wangu, niliamua kuweka msimamo wangu na kujitenga na matakwa yaoHuu mchezo nshaanza kuona dalili kua hauna mwisho
Yao yatabakia kua yao,ww fanya yako ili tuthibitishe msimamo wakoMwishoni baada ya kujiridhisha na utafiti wangu, niliamua kuweka msimamo wangu na kujitenga na matakwa yao
Wako wapi watu waliojitia jeuri na kujiita Miungu? Firauni(Pharaoh) ni mmoja waoYao yatabakia kua yao,ww fanya yako ili tuthibitishe msimamo wako
Wao walikua supermaket wanapata vinywaji kidogoWako wapi watu waliojitia jeuri na kujiita Miungu? Firauni(Pharaoh) ni mmoja wao
