Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,718
- 126,563
Kidogo sana ulichonacho ni bora kuliko ambaye hana.Wao walikua supermaket wanapata vinywaji kidogo![]()
Kidogo sana ulichonacho ni bora kuliko ambaye hana.Wao walikua supermaket wanapata vinywaji kidogo![]()
Hana maana asiekujaliKidogo sana ulichonacho ni bora kuliko ambaye hana.
Asiekujali wa kazi gani sasaHana maana asiekujali
Sasa mm pia nashangaa , ni bora muache aende tu kuliko kuumizana hisiaAsiekujali wa kazi gani sasa
Hisia zikizidi nazo inabidi ujiandae kwa maumivu makaliSasa mm pia nashangaa , ni bora muache aende tu kuliko kuumizana hisia
jana hapakukalika mpaka mkuu akafunga shuleAdhuhuri ya leo ni shwari sana kuliko jana
Makali yale maembe ivi ulinunua wapiHisia zikizidi nazo inabidi ujiandae kwa maumivu makali

Wapi mmenionea yule jamaa mwenye udevu kama wanguMakali yale maembe ivi ulinunua wapi![]()
Wangu mpenzi,yeye ndie wa kunienzi.Wapi mmenionea yule jamaa mwenye udevu kama wangu
Laaziz wako anafaidi haya bwanaWangu mpenzi,yeye ndie wa kunienzi.
Hakika mm siwez,kukaa bila ya laaziz
Bwana daby sio kwa usanii huoLaaziz wako anafaidi haya bwana
Huo ni ukoloni mambo leo emmyBwana daby sio kwa usanii huo
emmy mwenyewe alishaacha hayo mambo siku nyingiHuo ni ukoloni mambo leo emmy
Nyingi zimekomaa hadi kupitilizaemmy mwenyewe alishaacha hayo mambo siku nyingi
Kupitiliza tu imenitokea mara nyingi kwenye daladala nikajikuta nashukia kisongo.Nyingi zimekomaa hadi kupitiliza
Kisongo sikuhizi ni kuzuri natafuta plotKupitiliza tu imenitokea mara nyingi kwenye daladala nikajikuta nashukia kisongo.
Plot tu mtafute Arabian queenKisongo sikuhizi ni kuzuri natafuta plot
Arabian queen nipo hapa nawasoma tu,mkiwa tayar mniambie nijePlot tu mtafute Arabian queen
Nije peke yangu au na huyu jamaa wa kimasaiArabian queen nipo hapa nawasoma tu,mkiwa tayar mniambie nije
Kimasai ni kabila gani kwani,ila bora uje nae maana si ndo anataka io plot,itabidi umleteNije peke yangu au na huyu jamaa wa kimasai