Wa mwisho ndiyo mshindi

Wa mwisho ndiyo mshindi

Hayalazimishwi na hata yakilazimishwa basi hayatodumu
Hayatodumu kwanini, wakati watu wabadilika.

Mapenzi sio kwinini, dawa isiyo vumilika.

Ukinunuliwa macheni, unaweza kubadilika.

Ukampeleka ukweni, kumtambulisha kwa kaka.
 
Hayatodumu kwanini, wakati watu wabadilika.

Mapenzi sio kwinini, dawa isiyo vumilika.

Ukinunuliwa macheni, unaweza kubadilika.

Ukampeleka ukweni, kumtambulisha kwa kaka.
Kumtambulisha kwa kaka noma, bora kuanzia kwa wazazi
kaka ana hasira utakoma, atakukatalia wazi wazi
wajomba nao watajinoma, endapo watapewa mbuzi
ukitaka mapenzi ya dhati, ni bora kuyaweka wazi
 
Back
Top Bottom