Gordita
JF-Expert Member
- Nov 4, 2013
- 11,579
- 55,632
njema afya nakutakia arabian queen.. polrAtakuponya kila balaa na atawaponya wale wagonjwa wote waweze kuinuka na afya njema...
njema afya nakutakia arabian queen.. polrAtakuponya kila balaa na atawaponya wale wagonjwa wote waweze kuinuka na afya njema...
Arabian queen he he he,njema afya nakutakia arabian queen.. polr
damu ya chui!!! zamiluni sio vizuriArabian queen he he he,
Pole ya nini huyu keshapona ana damu ya chui...
Vizuri vinajiuza vibaya vinajitembezadamu ya chui!!! zamiluni sio vizuri
Vizuri sana jakitoo, uwe unanitag basi maana napitwa vijimambo makini sana katika huu mchezodamu ya chui!!! zamiluni sio vizuri
Mchezo unafaida zake na hasara zake yategemea alaka zako na wenzio !!Vizuri sana jakitoo, uwe unanitag basi maana napitwa vijimambo makini sana katika huu mchezo
Vinajitembeza kama Marketing team ila bei imeshuka na soko limejaa maji..!!Vizuri vinajiuza vibaya vinajitembeza
Unatetemeka na unagandiana na nguo zakomaji ya mvua yakikulowamisha unatetemeka
zako zile chakavu zinatoa harufu ya uvundo..!Unatetemeka na unagandiana na nguo zako
unatetemeka sababu huli chakula chenye vitamin..maji ya mvua yakikulowamisha unatetemeka
Vitamini A ndio kinara wa magonjwa ya machounatetemeka sababu huli chakula chenye vitamin..
Macho yatazama mbele huku kisogoni huoni kitu..Vitamini A ndio kinara wa magonjwa ya macho
kitu chochote kinaweza kukupata usipo kuwa mwangalifuMacho yatazama mbele huku kisogoni huoni kitu..
kitu.. wingi wake ni VituMacho yatazama mbele huku kisogoni huoni kitu..
Vitu vya kichina kusema kweli vimetufaa sana haswa ukiangalia bei zake nafuu !!kitu.. wingi wake ni Vitu
nafuu !! kama simu za tecnoVitu vya kichina kusema kweli vimetufaa sana haswa ukiangalia bei zake nafuu !!
Tecno zipo za bei mbaya ila hazijafika...nafuu !! kama simu za tecno
Hazijafika hadi sasa hivi!!Tecno zipo za bei mbaya ila hazijafika...

Kulala usiku huu mie nipo hospital emergency tunamsubiri dokta yupo mgonjwa kazidiwa...Hazijafika hadi sasa hivi!!
Mimi nimechoka bana naenda kulala.
![]()
![]()