Siasa mchezo wa taifa, nchini Tanzania.Viraka wako wengi hata kwenye siasa
Poaahhhhh unaniangusha sasa
Dhahabu aisee usinikumbishe maana tumepigwa sana na wawekezaji uchwaraSiasa mchezo wa taifa, nchini Tanzania.
Kama kuna mashindano ya siasa, wabongo watalamba dhahabu.
Uchwara siyo wawekezaji Ufisadi ktk kula dili ndani ya mikataba....Dhahabu aisee usinikumbishe maana tumepigwa sana na wawekezaji uchwara
Uchwara ni neno linaloonesha.....Dhahabu aisee usinikumbishe maana tumepigwa sana na wawekezaji uchwara
linaloonesha ulaghaiUchwara ni neno linaloonesha.....
Mikataba ya ndoa za mtaroUchwara siyo wawekezaji Ufisadi ktk kula dili ndani ya mikataba....
Mtaro huu ni mchafuMikataba ya ndoa za mtaro
Mtaro au mitara?Mikataba ya ndoa za mtaro
Mtaro wa kijiweni au pale sokoni ?Mikataba ya ndoa za mtaro
Mchafu ?? siusafishwe jamani "nadhafa minna al iman" !!Mtaro huu ni mchafu
sokoni kumejaa maji, hizi mvua hiziMtaro wa kijiweni au pale sokoni ?
Sokoni hali tete, maji mengi yametuamaMtaro wa kijiweni au pale sokoni ?
Yametuama maji kila sehemu kwa mvua kubwa zinazoendela kunyeshesha nchiniSokoni hali tete, maji mengi yametuama
Mazito yanayohitaji kufarijiana na kujuliana haliNchini tuna majonzi mazito
Hali yangu mbaya leo ,hata kunipa pole mnashindwa jamaniMazito yanayohitaji kufarijiana na kujuliana hali


jaman pole arabian queen natumai Mungu atakuponyaHali yangu mbaya leo ,hata kunipa pole mnashindwa jamani![]()
Atakuponya kila balaa na atawaponya wale wagonjwa wote waweze kuinuka na afya njema...jaman pole arabian queen natumai Mungu atakuponya