Arabian queen
JF-Expert Member
- Nov 23, 2016
- 2,557
- 4,825
Nikipendacho ni igizo,ww chama kipi iko![]()
alama ya chama nikipendacho
?Nikipendacho ni igizo,ww chama kipi iko![]()
alama ya chama nikipendacho
?Nikipendacho nakitafuta kwa bidii![]()
alama ya chama nikipendacho
Nikipendacho kimenikinai![]()
alama ya chama nikipendacho
Kimenikinai, njaa ikirudi nakirudia tenaNikipendacho kimenikinai
tena na tena walirudia kwa msisitizo!Kimenikinai, njaa ikirudi nakirudia tena
Ati ulikuepo katika ule msafaraMsisitizo ndio nini ati
Msafara wa mamba hata kenge huwepo wengi bila kutambulikana...Ati ulikuepo katika ule msafara
Kutambulikana mbele za watu inataka moyoMsafara wa mamba hata kenge huwepo wengi bila kutambulikana...
Moyo mashineKutambulikana mbele za watu inataka moyo
Moyo sukuma damu, mapenzi sio kazi yakoKutambulikana mbele za watu inataka moyo
Nguo zenyewe za buku buku karume ukiweka kwa mashine si zitachanika zoteMashine ya kufulia nguo![]()
![]()
Zote zitavalika tu hata kama ni virakaNguo zenyewe za buku buku karume ukiweka kwa mashine si zitachanika zote
zote!!! hapana nyingine bakisha kidogo pyeeNguo zenyewe za buku buku karume ukiweka kwa mashine si zitachanika zote
Zote zitavalika tu hata kama ni virakaNguo zenyewe za buku buku karume ukiweka kwa mashine si zitachanika zote
Viraka vya nini tena, wakati kuna mitumba ya dezo.Zote zitavalika tu hata kama ni viraka