Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,718
- 126,564
Snakes can kill you!!When I was thirteen I met a bundle of snakes.
kithungu jamani mtatufukuza uwanjani.Snakes can kill you!!When I was thirteen I met a bundle of snakes.
kithungu jamani mtatufukuza uwanjani.Uwanjani sharti uwe bilingualSnakes can kill you!!
![]()
![]()
![]()
kithungu jamani mtatufukuza uwanjani.
Bilingual ndio nini kaka Daby mbn kiswahili kinaanza kua kigumu nachoUwanjani sharti uwe bilingual
Nacho sio kigumu kama unavyodhania. Bilingual sio kiswahili ni kiingilishi maana yake kujua lugha mbiliBilingual ndio nini kaka Daby mbn kiswahili kinaanza kua kigumu nacho
Mbili kwa wakati mmoja nacho ni kipajiNacho sio kigumu kama unavyodhania. Bilingual sio kiswahili ni kiingilishi maana yake kujua lugha mbili
Kipaji chako ni kipiMbili kwa wakati mmoja nacho ni kipaji
Kipi nianze nachoKipaji chako ni kipi
Nacho pia kipaji kuujua huu mchezo ndio mana naupendaKipi nianze nacho
Naupenda pia mana hauishi viburudishoNacho pia kipaji kuujua huu mchezo ndio mana naupenda
Viburudisho kemkem na haka kaubaridi unajichangamshaNaupenda pia mana hauishi viburudisho
Unajichangamsha kwa mahaba mubashara na baby wakeViburudisho kemkem na haka kaubaridi unajichangamsha
Wake Daby amemtosa ndio maana anazugazuga hapaUnajichangamsha kwa mahaba mubashara na baby wake
Hapa nimeskia mnanisena eti ni kweli?Wake Daby amemtosa ndio maana anazugazuga hapa
Hapa anazuga kupoteza mawazo wacha aje aseme mwenyweWake Daby amemtosa ndio maana anazugazuga hapa
Kweli maana umemtosa flaniHapa nimeskia mnanisena eti ni kweli?
Flani kaja kuulizia kama tulikuwa tunamsemaKweli maana umemtosa flani
Tunamsema ndo maana kaamua kukimbiaFlani kaja kuulizia kama tulikuwa tunamsema
Tunamsema kwa nyuma kwa sbbu hajui kiengerza sawa mie sijui lugha ingine ispokuwa kiarabu !!Flani kaja kuulizia kama tulikuwa tunamsema
Kiarabu ni lugha iliyozaa kishwahiliTunamsema kwa nyuma kwa sbbu hajui kiengerza sawa mie sijui lugha ingine ispokuwa kiarabu !!
Kiswahili ndiyo silaha pekee yenye ncha mbili!!Kiarabu ni lugha iliyozaa kishwahili