Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,718
- 126,564
Mbili ni namba shufwaKiswahili ndiyo silaha pekee yenye ncha mbili!!
Mbili ni namba shufwaKiswahili ndiyo silaha pekee yenye ncha mbili!!
Shufwa bilbaraka hata akhera zaman !!Mbili ni namba shufwa
Zamani ulikuwa unayajua haya mambo?Shufwa bilbaraka hata akhera zaman !!
Mambo kadha shurti utajuwe bila ajizi !!Zamani ulikuwa unayajua haya mambo?
Zz hujalala wewe??Mambo kadha shurti utajuwe bila ajizi !!
Wewe pia hujalala??Zz hujalala wewe??
Hujalala na wewe eee,mm nililala mda uleule sichelewag kulala si unajua naamka alfajiri,nmeamka nakuta post ziko two hrs beforeWewe pia hujalala??
au na ww hukulala ,kama ulikesha unambie tu nijueNijue km unafanya kaz 24/7, mm ndo nimeamka sa iv for swalaah, and then I will go back to sleep. Lkn c unajua ñna maradh yanaitwa jf syndrome yn nikiamka tu lazima nipite hapa kwanza nijiliwazeHujalala na wewe eee,mm nililala mda uleule sichelewag kulala si unajua naamka alfajiri,nmeamka nakuta post ziko two hrs before![]()
au na ww hukulala ,kama ulikesha unambie tu nijue
Nijiliwaze kwa jf huku nashuulika na kazi zngn,mm pia nmeamka for swalah nmemaliza kusali tu nmeidakia jfNijue km unafanya kaz 24/7, mm ndo nimeamka sa iv for swalaah, and then I will go back to sleep. Lkn c unajua ñna maradh yanaitwa jf syndrome yn nikiamka tu lazima nipite hapa kwanza nijiliwaze

JFNijiliwaze kwa jf huku nashuulika na kazi zngn,mm pia nmeamka for swalah nmemaliza kusali tu nmeidakia jf![]()
![]()
ya kufurahisha, inabidi mpunguze.Msiniunguze kwenye jiraha,ambalo mwanzo lilinipa raha.JF![]()
ya kufurahisha, inabidi mpunguze.
Msiache mengine ya maisha, hilo mlichunguze.
Ujana wenu usije kwisha, udaku wa JF muupunguze.
Kalamu wino umekwisha, kwa uzee wangu msiniuguze.
Kukariri si muhimu, kwenye kurusha mistari.Msiniunguze kwenye jiraha,ambalo mwanzo lilinipa raha.
Hakika sipendi karaha,napenda kua na staha.
Babu yetu umeamua kutuletea mistari,wacha nianze kuikariri
kutafakari kabla ya kutenda jambo ni kitu cha busara sana.Habari ziko dhahiri,watu hukariri
Wengine huja kwa shari,pasipo kujihadhari.
tunapenda kupandisha munkari,pasipo kutafakari.
Sana sana kiswahili kina ladha ya kukariri umewasikia waPwani wanavyo mwaga radhi haoa jukwaani??kutafakari kabla ya kutenda jambo ni kitu cha busara sana.
Sana sana nakuasa, Bora kwanza tafakarikutafakari kabla ya kutenda jambo ni kitu cha busara sana.
Kambo la kheri huwa halicheleweshwi bora jinyakulieni mapema ...!!!Sana sana nakuasa, Bora kwanza tafakari
Haya Mambo ya kisasa, yaweza leta athari
Ukin'gan'gania siasa, mengi yatakuathiri
Tafakari ni muhimu, kabla kutenda jambo
Mapema nikiamka, humuomba mola wanguKambo la kheri huwa halicheleweshwi bora jinyakulieni mapema ...!!!
Langu pekee halitoshi bora unganisha na la wenzio hapo package litataqabaliwa ,,,,,Mapema nikiamka, humuomba mola wangu
Anijazie baraka, ndani ya maisha yangu
Na nahc bila shaka, apokea Dua zangu
Mungu nakuelekea, ww tegemeo langu
Litataqabaliwa pale ntakapokua mkweli,kunikubali kila hali,haijalisha hata ukiwa mbali.mapenzi ya halali ,ni matamu yasio na ukali.Langu pekee halitoshi bora unganisha na la wenzio hapo package litataqabaliwa ,,,,,